Mungu ipe hekima tume ya uchaguzi Igunga kutangaza matokeo halisi ili kuepusha maafa

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Ninaogopa sana hali itakayo jitokeza igunga baada ya matokeo kutangazwa igunga, haswa pale CCM ikitangazwa kidedea, kwani sidhani kama cdm watakubaliana nayo kiurahisi kwani mpaka sasa cdm inaonekana inaweza kushinda. E Mungu tuepushe na machafuko igunga.
 
hakuna machafuko wala nini kama kawa uchaguzi utaisha vizuri na atakaeshinda anaenda bungeni kuapishwa na baada ya hapo wananchi wa igunga watakuwa wanayasoma namba mashangingi yakikatiza hapo kwenda kwenye madili mpaka 2015 anaebisha tuwekeane dau.
au aulize busanda kama wanakumbuka hata rangi za mashangingi?
hii ndo tanzania inyoongozwa na rostam azizi(rimoti) kwa kumtumia kikwete(deki) na ccm(skirini)=picha la kihindi.
 
We Ringo hayo ma-pilau umeyatoa wapi, yaani inaonekana ni sehemu ya mikutano ya wana-MAGAMBA.
Haya majambazi ya kikosi cha MAGAMBA kwa sasa yakiiba tu, namwambia COMMANDOO LEMA ayashughulikie!!!

Ni hayo tu!!!
 
Ninaogopa sana hali itakayo jitokeza igunga baada ya matokeo kutangazwa igunga, haswa pale CCM ikitangazwa kidedea, kwani sidhani kama cdm watakubaliana nayo kiurahisi kwani mpaka sasa cdm inaonekana inaweza kushinda. E Mungu tuepushe na machafuko igunga.
point mkuu, kama haki ikitendeka na CCM wakashinda ki halali hakuna mwana CDM yoyote utakayemwona mtaani akililia haki yake, lakini endapo kura zitaanza kufanyikwa usanii kwenye vituo hapo ndo mziki mnono utaanza.

Tatizo la uchakachuaji ni kubwa kwani hata vyombo vya serikali navyo vinajiingiza kwenye kampeni, mfano mzuri ni huyu mama, yaani kaona siku ambayo CDM wanafanya mkutano na yeye aende same location akafanye mkutano, sasa hapa kuna mwingiliano wa mamlaka ya serikali ya yele ya Tume ya uchaguzi.

Tuombe mungu tu CCM wasifanye mchezo mbaya - kama watashinda basi washinde kwa idadi ya kura na si vinginenvyo. Otherwise mimi nafikiri siku kukinyukana ndiyo siku tatakayoheshimiana. manake hizi zingine zinakuwa ni dharau za rejareja.
 
hakuna machafuko wala nini kama kawa uchaguzi utaisha vizuri na atakaeshinda anaenda bungeni kuapishwa na baada ya hapo wananchi wa igunga watakuwa wanayasoma namba mashangingi yakikatiza hapo kwenda kwenye madili mpaka 2015 anaebisha tuwekeane dau.
Au aulize busanda kama wanakumbuka hata rangi za mashangingi?
Hii ndo tanzania inyoongozwa na rostam azizi(rimoti) kwa kumtumia kikwete(deki) na ccm(skirini)=picha la kihindi.

najua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mzee ambaye kwa ration ya miaka mungu aliyogawa hapa duniani almost imeshakwisha, na sasa hana cha kupoteza, hivyo tunamtaadharisha awe makini na kauli zake
 
Ninaogopa sana hali itakayo jitokeza igunga baada ya matokeo kutangazwa igunga, haswa pale CCM ikitangazwa kidedea, kwani sidhani kama cdm watakubaliana nayo kiurahisi kwani mpaka sasa cdm inaonekana inaweza kushinda. E Mungu tuepushe na machafuko igunga.
kama haki itatendeka kuanzia huku mwanzo wa kampeni kwanini chadema wakatae lakini kama wataendelea uhuni wao kama wanavyo fanya sasa hakika pale patachimbika...
 
kimsingi dalili zote zinaonyesha chadema imeshashinda, ccm wanachofanya ni kuandaa namna ya kuiba lakini naona makamanda wamejipanga kisawasawa, rejea kauli ya kamanda john heche kwa waandishi wa habari na kauli ya kamanda godbless lema kwa waandishi leo arusha ndo utaelewa kuwa makamanda wako tayari kwa lolote. siku zote wakandamizaji wanajificha kwenye mgongo wa amani, to be honest hakuna amani bila haki. hubiri amani ikiwa umetenda haki vinginevyo lazima kiwake.
 
Back
Top Bottom