Mungu hutoa haki sawa, kwanini sisi tunabaguana?

karugila

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,275
683
Tunajua muda wote kuwa Mungu wetu hutoa haki sawa kwa wote, lakini kwanini binadamu duniani tunabaguana hata mpaka mazishini? Mfano ni pale naona baadhi ya misiba hushabikiwa sana na watu hutoa machozi kwa wingi na baadhi ya misiba hakuna hata mahudhurio.

Kwanini?
 
Back
Top Bottom