Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

Thinking gani hii

Angeajiri watu wangapi angepata hiyo pesa kwako wao kula uyo samaki ambaye washampeleka chooni ni bora zaidi.
Ila Jamaa shida yake haikua pesa, ndiyo maana hakutaka hata kumuuza kwa vipande vipande kwa Wanakijiji,yeye shida yake ilikua afurahi na Wana Kijiji wenzie ndiyo maana akawapa free!!
 
Kwa ambao hawajamuona samaki wa billion sita huyu hapa
πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

1615538963520.png
 
Ngoja niulize swali yawezekana wadau wanaongelea tu bilioni 6 lakini wasijue kitu, hivi uyo samaki kinachofanya mpk awe na thamani kubwa kiasi hicho ni kitu gani aswaaa,, embu wajuzi mutuambie au magamba yake ni dhahabu au kinyesi chake kinatumika kutengeneza madini embu wajuzi mtuambie kitu hapa
 
Nadhani atakua na Kinga ya Magonjwa mengi sana,likiwepo la Corona!!
 
Ngoja niulize swali yawezekana wadau wanaongelea tu bilioni 6 lakini wasijue kitu, hivi uyo samaki kinachofanya mpk awe na thamani kubwa kiasi hicho ni kitu gani aswaaa,, embu wajuzi mutuambie au magamba yake ni dhahabu au kinyesi chake kinatumika kutengeneza madini embu wajuzi mtuambie kitu hapa
Brand tu
Saltbae nyama yake moja ya kilo 5 tu anauza 200M.
 
Hakuna samaki wa bilioni 6 dunia hii, na hatakaa atokee.Hiyo ni kamba.
 
Serekali ilituambia siyo samak wetu ila ni samaki wao walimtuza kwa siri na wakasema tukimuuza watakata kodi yao billion 5 million mia 9 laki 9 na elf 50 ndo maana tukamla
 
Back
Top Bottom