Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,006
Muujiza ni kitu kinachofanyika ambacho akili za binadamu haziwez kuelewa, ndo maana tunapokutana na mambo magumu tunaomba muujiza Kwa sababu uelewa wa akili zetu umefika mwisho, na akili ikishaelewa na kuuelezea muujiza unaitwa science.
In God point of view hana muujiza Kwa sababu kwake yeye kila jambo kina maelezo, mfano hapo zaman watu walikua wanaamin binadamu anaweza paa, lakin ilichukua miaka mingi sana mpaka ndege ikaja kutengenezwa (akili ikaja kuelewa)
Na hata sahiv wako watu wanaoona kupaa Kwa ndege, kuongea Kwa simu, na kutumia fax ni muujiza, lakin wako watakao kuelezea jinsi gan hivyo vitu vinafanyika.
Ndo maana watu wote wabunifu kabla hawajagundua kitu chochote wanakua na imagination flani hivi ndan yao, baada ya hapo wanatumia akili kuitengenezea formula ili kieleweke na watu wengine.
Na kinachowafanya watu wa dini wadharauliwe ni Kwa sababu wao wanaishia hatua ya kwanza ambao ni muujiza, hawaend hatua ya pili ya kuingiza akili kazin ili watengeneze formula ili iwe rahis Kwa watu wengine kuelewa.
Kuna watu wanaombea watu wanapona, nataka nikuhakikishie kwamba kuna formula nyuma yake inayoelezea ilo tukio lilivyotokea.
Na ndo maana Mungu alimpa mwanadamu akili, lakin jambo LA ajabu watu hawatumii hata asilimia kumi ya akili walizonazo, ndo maana mambo mengi yamekaa kimiujiza, lakin watu wangekua na uwezo wa kutumia akili angalau asilimia 90 kusingekua na kitu kinachoitwa miujiza.
Ndo maana ni Hatar sana Kwa viongoz wa dini kulazimisha watu kuishi Kwa muujiza, Kwa sababu Kwa kufanya hivyo kunaua ubunifu na uvumbuzi, na ndo kutokuelewana Kwa watu wa Dini na wanascience kunapokuja