Until 2008 Nelson Mandela alikuwa Kwenye Terrorist watch list .Condoleeza Rice ndio alimtoa Kwenye list hii.inasikitisha saana kuona USA wanavyomlil,media .Mungu ampumzishe baba wa Watu .27 years Jela alikuwa anaangalia ukuta tuuu hao USA walikuwa wapi ?.