Hivi umepewa ridhaa na wananchi ya kuongoza kwa miaka 50 halafu hakuna jipya huoni haya wala shangazi yake aibu wala mdogo wake soni kutaka muda mwingine wa kuwafukarisha watanzania?Hivi na hao wanao wapa kura hawa watu wamerogwa au?Sidhani kama mtu mwenye akili timamu anaweza jambo la kijinga kama hili