Mungu awabariki 2014 mtimize malengo na Nia zenu| wana MMU na wana JF woote!!

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,246
411
Napenda Mungu amtimizie kila mmoja mawazo na Nia/malengo yake sawa sawa na neno hili kwa siku ya leo 01.01.2014
''Na Amani ya Mungu ipitayo akili zote Itawahifadhi MIOYO yenu na NIA zenu katka Kristo Yesu'' wafilipi 4:7

Sherekeeni kwa Amani na furaha pia nawapenda sana Mungu awabariki!!
 
Last edited by a moderator:
ili mafanikio yawepo lazima kuwe na Amani ya moyo kwanza na mengine yatafuata ikiwa na amani ya familia na nchi kwa ujumla
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom