Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 411
Napenda Mungu amtimizie kila mmoja mawazo na Nia/malengo yake sawa sawa na neno hili kwa siku ya leo 01.01.2014
''Na Amani ya Mungu ipitayo akili zote Itawahifadhi MIOYO yenu na NIA zenu katka Kristo Yesu'' wafilipi 4:7
Sherekeeni kwa Amani na furaha pia nawapenda sana Mungu awabariki!!

Last edited by a moderator: