Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,761
- 5,245
Ni kijana wa miaka 28 elimu yangu ya stashahada na uzoefu wa miaka 2 kufanya kazi katika mazingira mbalimbali ya kiofisi na nje ya ofisi, naishi mkoa wa arusha.. wakuu naomba Mungu awaguse mnisaidie kazi yoyote halali, maisha yangu magumu mno naombeni msaada wenu, imefikia mahali akili kama imegota kuwaza a way out, wazazi wangu hawana uwezo mkubwa, kwakweli Mungu huyu awaguse munisaidie, yeyote yule atakayeguswa Ahsanteni Mungu awabariki sana.
N.B
Kejeli sitopenda wapendwa na pia nipo tayari kwenda mkoa wowote kufanya kazi.
N.B
Kejeli sitopenda wapendwa na pia nipo tayari kwenda mkoa wowote kufanya kazi.