Mungu anijalie nipate mke humu JF

Mimi itanibidi nitulie kwanza matangazo yaishe. nimejaribu mara moja tu nikajikuta nimeingia kwenye anga la Nungwi mtawala mwenyewe haguswi. nasubiria moyo upoe kidogo. na wewe Jr, kama umemaliza au unaongeza wa pili ututaarifu. Maana tunaogopa kuoteshwa manyonyo tukiingilia anga zako
 
Mimi nilijipatia Mke humu tena ni material since 2014 now tuna kid of 3 year.Wa humu ndo haohao tunapishananao kitaa
Tofauti ni area if incidence tu !!! Tia bidii utampata!

Aluta continua!!!!!
Mimi tayari sema namsaidia mtoa uzi tu
 
mkuu wapo humu watu wanatoka Kimya Kimya ...sio wote ambao wamefikia hatua ya ndoa ... but juzi kati kuna Dogo alileta Uzi wake humu akilalamika kuwa demu wake anamsumbua na huyo demu alikutana nae jf ..na walikuwa ktika process za ndoa
Dooh. Niliona ule uzi ila sijui ilikua mawenge hata sikujua kama kampatia humu huyo wife to be wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom