Mungu anatenda kazi hata sasa

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu,
Napenda kuleta kwenu Neno la Mungu ili kuwatia moyo na kuwapa maarifa fulani fulani, upo uwezekano wa mtu kuwa bize sana mpaka inafika kipindi mtu anakuwa mbali na Neno la Mungu au hupati muda wa kusoma Neno, lakini Mungu alilifahamu hili hata akawaweka watumishi wake ili wawatumikie katika kuwahubiria habari njema ya Ufalme na Injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu.

Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa kila kitu kitakachomfaa na anachohitaji ili kupiga hatua na mafanikio ndani yake,lkn tatizo wanadamu kuna mahali tumejisahau hata adui shetani kutuzuia lakini uweza wa kufanikiwa tuliumbwa nao,na isitoshe uweza wa Mungu na ufalme wa Mungu umetujilia na upo ndani yetu tayari,

Luka 11:20, Marko 1:15

Hivyo ndugu zangu napenda kuwaalika wale ambao bado hawajaingia katika ufalme huu wa Mungu karibuni sana,
Maombi ni bure kwa yyte.wasiliana nami.
 
Hivi ni sawa kwa mwanamke mkristo kuolewa Mara mbili ilhali mume wake wa kwanza yupo hai??
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom