Mungu amsikilize nani?

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
906
594
uploadfromtaptalk1355239543325.jpg
Ungekuwa wewe ndo mungu ungejibu sara ya yupi?mpiga penati au golikipa?
 
ambae ameelemewa ningemsikia.lakini bahati mbaya siwezi kuwa mungu labda ningekuwa refa hapo kingeeleweka.
 
Kwa vile wote ni viumbe wake basi awasikilize wote kwa vile haishiwi neema. Simpo akiwasiliza wanatoka draw and that is that.
 
Hapo ndipo mungu atakapohitaji Quantum Physics.

Katika Quantum Physics inawezekana goli likafungwa kwa penati na kipa akazuia penati hiyohiyo vilevile.

Lakini bottom line mungu ambaye hayupo hawezi kumsikiliza mtu.
 
Ndo maana MUNGU amejificha,longolongo hizi wabongo si mngekuwa mnaandamana daily kwenda kwake!?
 
Ambaye ni msafi kati yao maana Mungu hasikilizi maombi ya mwenye dhambi kwa mujibu wa Biblia.
 
Mungu yupo busy haangaiki na mambo madogo madogo kama hayo.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
Atawaadhibu wote wawili vikali. Unajua kucheza mpira ni dhambi?

Wengi yawezekana hamjui, lakini acha niwakumbushe kuwa kumpiga mwenzio chenga lazima umdanganye kwamba unaenda huku, lkn badala yake unaenda the other side. UONGO unavunja amri ya ngapi, kila mtu anajua
 
Kweli Mungu hasikilizi wenye dhambi? Naomba hiyo verse kwenye biblia nijiridhishe mkuu

Nikikumbuka au nikiupata nitakuwekea ipo mistari mingi inayosema hivyo. Ila kama sijakosea ukisoma kwenye Isaya, Yeremia na Zaburi unaweza ukaipata. Unaweza kusoma pia Zaburi ya 34 kama inaweza kuwepo sina Biblia karibu yangu kwa ajili ya kufanya rejea ya uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom