Mungu amewaumba Adam na Hawa akimaanisha kwa sisi wa Tz kwamba

Salute Madame B
Umesahau nani anayemuuguza akiugua
Nani anayemnunulia boxer na kuzifanya ziwe clean hata akienda kucheat asiaibike.
 
Last edited by a moderator:

...thanx Kaunga.
Yani Sisi wanawake tulio ndani ya ndoa ni zaidi ya Mashujaa.
Tunavumilia vingi sana,sana,sana ambavyo mume hawezi kufanyiwa na mwanamke wa nje hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Ongeza na hii,
Ndiye anayekufanya Upate jeuri ya Kuwa Smart ofisini kila siku.
Unafikiri nyumba ndogo anayaweza hayo?
Thubutu,yapaswa mtuheshimu.
Ni nani anaejua kwamba unaenda kazini kila siku bila kuvaa boxer kama si mimi mkeo?
Nani anaejua kwamba Ukipiga kimoja tu hoi kama si mimi mkeo?
Nani anaejua kwamba unatembea na Housegirl wetu kama si mimi mkeo?
Nani asiejua kwamba hapa mjini huna kazi lakini ukitoka nyumbani asubuhi umependeza kama si mimi mkeo?
Tuheshimuni sana wake zenu kwani tunayokutana nayo majumbani ni siri yetu.
Eboooh!!!
wape wapeeee vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao..................

wanaume ni wabaya tena ni visirani

nani anaye jua kwamba ana kabia kama si mkewe?
nani anayejua kwamba ana kovu tumbon kama si mkewe?
nani anaye jua kwamba akilewa huwa ana mwaga koj itandan kama si mkewe?
nani anayejua kwamba akilewa anatapika kitandani kama si mkewe?

halafu hapa analeta za kuleta alaaaaaaaaaaa muheshimu mkeo huna nidham kabisa.
 
...thanx Kaunga.
Yani Sisi wanawake tulio ndani ya ndoa ni zaidi ya Mashujaa.
Tunavumilia vingi sana,sana,sana ambavyo mume hawezi kufanyiwa na mwanamke wa nje hata siku moja.
niliwah kusema siku moja taasisi ya ndoa siku zote inashikiliwa na mwanamke na huyu akiwa mpumbavu tu basi ndoa hii lazima ivunjike. tunavumila mengi sana ambayo hata hao wezi wetu hawawez kabisa wao zaid ya kufungua wallet hawana habar na mengine hata siku moja.
 
100% gfsonwin ni Ukweli mtupu...!!!
Japo hao wanawake wa nje wanatuona sie tuliondani ya ndoa ni kama Picha flani hv.
Hv unadhani wewe Kimada wa nje,bila mimi mkewe kumpendezesha mume wangu,
Kumpigia pasi,kumng'arishia viatu,kumchagulia nguo nzuri,tai au Perfume nzuri,ungempata wapi?
Mbona hawaendi kwa wale wanaume walio rafu?
Kubali kataa,nguzo ya nyumba imeshikiliwa na Mke,na ndio maana % kubwa ya Wanaume walio ktk ndoa wanapofiwa na wake zao hupata wakati mgumu sana ktk maisha yao.
 
na siku zote ni afadhali akaanza kufa baba lakin mama akianza lazima baba afe kwa kukosa matunzo.
 
....Na ndo mana kuna yale maneno ya mtaani utasikia "tangu Hamza afiwe na mkewe,kawa kama amechanganyikiwa"
sio kuchanganyikiwa hapa,
tatizo ni kwamba hapati matunzo sahihi kama aliyokuwa anapata kwa mkewe.

Lakini ona sisi,hata akifa mume wangu,bado nitaendelea kusimama imara,kama ni weaving nitashonea,kama kope nitabandika,kama ni nyusi nitatinda.
Na ndo mana ktk jamii nyingi hapa kwetu Tz,nyumba aliyofariki mama inajulikana tu tofauti na aliyofariki baba.
gfsonwin naongopa...!!???
 
haya ni kweli kabisa my dear mke ni nguzo muhimu sana manake ikivu jika hata watoto wanashindwa kabisa kuendelea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom