MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Tunamshukuru Mungu kwa Mwaka 2016 hakika kiwango cha ajali kimepungua sana ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Ilifika hatua mpaka watu wakahisi kuwa wamiliki wenye mabasi huwa wanatoa kafara mwishoni mwa mwaka.
Tunalipongeza Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama la Barabarani kwa kupitia kwa Kamanda Mpinga na vijana wake kwa usimamizi mzuri ktk kipindi hiki.
Shukrani kwa madreva wote kufuata sheria na kanuni za usalama barabarani. Tukifanya hivi mwaka 2017 ajali zitakuwa chache zaidi.