Mungu ambariki Abiudi Misholi

Aisee alikuwa mtu wa namna gani?
Acha tu,huyu mtu aliipenda injili tangu zamani,familia yao wengi wanafanya injili.
Jamaa alikua mtata kwa mazingira yale ilibidi,ila ikifika muda wa kuabudu atakuja na suti yake hata km imechanika na tai na kandambili na atamwabudu mungu wake na kuimba mpk kunena kwa lugha.
Akimaliza mtaani anaendelea na mambo ya mtaa.
Ni mtu mmoja alikua anabadilika sana kutokana na mazingira.
Nafkiri pia alikua very confused enzi zile na family life home.
 
Kwa anayejua makao makuu ya casfeta tayomi kwa dar naomba anifahamishe maana huu uzi ni wa watumishi wa Mungu
Kuhusu Abiudi ni kweli ana nyimbo zenye upako sana
 
Back
Top Bottom