Ameni!
Bila shaka kuna namna moja au nyingine unabarikiwa na nyimbo zake, hata kuelezea hauwezi sababu ya furaha uliyo nayo! Good.
Ndo nani huyo mkuu?
Mwimbaji wa Gospel!Ndo nani huyo mkuu?
Pia ni MchungajiMwimbaji wa Gospel!
Tatizo huweki mawazo kwenye ujumbe unashangaa watu tuuwanenguaji wake kila nikiwaangalia nadindisha
Lengo la kuwaweka watu ni lipi??Tatizo huweki mawazo kwenye ujumbe unashangaa watu tuu
Mkuu utakuwa unadindisha muda wote maana hata barabara wanawake wanakatika na nguo zao zinachora jiografia ya miili yao.Mi wale wanenguaji wake kila nikiwaangalia nadindisha