utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Mojawapo ya nchi ambazo utamaduni wa kisiasa ni wa ajabu ni hii ya kwetu!Tunawashangilia wanasiasa bila hata kujiuliza maswali1
- tULIOREDHESHEWA orodha ya mafisadi akiwemo Mkuu wa KAYA lakini tulinyamaza.
- Rais akatuambiwa anawajua wala rushwa ila anawapa muda wajirekebisha ,mpaka leo hatujamuhoji kwa dhati kama hao watu wamejirekebisha au la utafikiri huo ufisadi waliokuwa /wanamfanyia mtu mmoja.!
- Tukaambiwa kuna mwenzetu an vjisenti nje ya nchi bila maelezo ya kutosheleza.....kimya1
- Likajitokeza kundi liKasema linapambana na ufisadi tukalishangilia kwa dhati leo hii ukiuliza hawa walipagInaje hiyo vita hakuna anayeweza kusema!na matokeo ya hiyo vita ninini....Lbda kuanzishwa kwa VICOBA!
- waLIOKWAPUA BENKI KUU,wengine bado kujikana licha ya kuwa walisajili makampuni hayo hapa nchin na malipo yakafanywa na benki zetu!
- Wapanaji wengine ndio hao tulioambiwa wameifilisi NICO hakuna aliyewahi kujibu
- ORODHA NI NDEFU ...Tunatakiwa kujiuliza watanzania hivi haya yote yanafanyika mbona hatuchukui hatua,MUNGU alitupa akili au matope!