LellozWho

Member
Jul 13, 2021
89
121
Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu.

Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata?
  • Tumwachie Mungu
  • Mungu atatenda
Nk..

Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!?

Mfano:
Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira.
Lakini ukweli ni mmoja tu.

“MUNGU HATUPI AJIRA.
ANATUPA FURSA.”

* fungua macho, fikiri kitajiri utaziona fursa.

Mungu hawezi kukuonesha njia wakati hauko tayari kuinua mguu.

Tuwe makini wakati wa kuomba. Wakati mwingine hatupewi kwasababu hatutoweza kumiliki.

  • Unaomba pesa na hujui utatumiaje!
  • Unaomba mafanikio na hujui utaftaji wake.
  • Unaomba hekima na hujui thamani yake.

MUNGU AKITUMIKA VIBAYA BASI UMASKINI UTAISHI DAIMA NASI.

Mungu alishamaliza.
Ni sisi kupambana.

prayers should never be an excuse FOR NOT moving into action.
 
Kuna kitu kizito sana umekiandika ila tu, mwenye jicho la kuwajibika atakiona ila mlalamikaji hawezi kukuelewa.
 
Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu.

Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata?
  • Tumwachie Mungu
  • Mungu atatenda
Nk..

Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!?

Mfano:
Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira.
Lakini ukweli ni mmoja tu.

“MUNGU HATUPI AJIRA.
ANATUPA FURSA.”

* fungua macho, fikiri kitajiri utaziona fursa.

Mungu hawezi kukuonesha njia wakati hauko tayari kuinua mguu.

Tuwe makini wakati wa kuomba. Wakati mwingine hatupewi kwasababu hatutoweza kumiliki.

  • Unaomba pesa na hujui utatumiaje!
  • Unaomba mafanikio na hujui utaftaji wake.
  • Unaomba hekima na hujui thamani yake.

MUNGU AKITUMIKA VIBAYA BASI UMASKINI UTAISHI DAIMA NASI.

Mungu alishamaliza.
Ni sisi kupambana.

prayers should never be an excuse FOR NOT moving into action.
Kwahiyo unatuambia sisi tunaopanda mbegu tufanyeje?
 
Kwahiyo unatuambia sisi tunaopanda mbegu tufanyeje?
Sina hakika mbegu ipi!

lakini Kama inahusiana na pesa basi jaribu kutafakari upya.

Umepata fursa, umeweka bidii, umepata tumaini kubadili maisha yako alafu unatoa ulichotafuta kwa jasho kwenda kupanda mbegu.

Mungu halipiki kwa sarafu
Amekupa utimize ndoto lakini bado unatoa kile unachohitaji!

Apo kuna shida.

dini/imani iko ndani yako.
Apa duniani lazma upambanie mkate
Maneno ya kimaskini tuyaache

wanasemaga utakufa utaviacha
Point apa sio kuviacha
Point ni nimeishije kwatika uhai wangu

Mbegu ioteshe ndani yako
Iudumie ikue, istawi, iote matunda na ulishe jamii na upate swawabu.

CHANGE BEGINS WITH YOU.
And let that changes affect other life’s forever.
 
Back
Top Bottom