Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,363
- 2,372
- Thread starter
- #121
Wapambe wameharibu mno hii nchiUtauwezaje ugojwa ambao umekua wewe mwenyewe na katibu wako! Kama hujui nyamaza familia yangu tunamjua Magufuli kuanzia 1992! wengi wenu ni vimbelembele hata hamjui klichotokea. Lakini kikubwa wengi hata kumpenda Magufuli mlikuwa hamna upendo ni kupenda ushabiki tu! Sisi ambao tunamjua na kumjali tulimwambia ajikinge maana tunamjua na tunajua matatizo yake ya afya lakini wapambe wanaangalia ushabiki tu na ubishi usio na msingi mpaka tukampoteza hivyo msianze kusifia ujinga. Ukweli ni kwamba lockdown zilikuwa za muda.