Mungu akupe maisha marefu.

korojani

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
231
237
Hakika Allah akupe maisha marefu Zaidi ili uendelee kuitetea Tanzania yenye Usawa.
#Naiona_Tanzania_yenye_maendeleo_2025.
7b0db260a7e50f211bda46c1db23a92c.jpg
 
Waombee watu wote kheri. Siyo huyo tu.

Huenda hata unajisahau kujiombea mwenyewe.
 
Acha siasa na ushabiki.
Aisee!... Sijaona siasa wala ushabiki katika comment yangu.

Ili kunikosoa, naomba nijibu maswali yafuatayo;
1. Nimeweka siasa gani hapo kwenye comment yangu?
2. Unaelewa vipi Ushabiki? Naam, nimemshabikia nani?

Ahsante.

Jaribuni kudhibiti MIHEMKO...
 
Aisee!... Sijaona siasa wala ushabiki katika comment yangu.

Ili kunikosoa, naomba nijibu maswali yafuatayo;
1. Nimeweka siasa gani hapo kwenye comment yangu?
2. Unaelewa vipi Ushabiki? Naam, nimemshabikia nani?

Ahsante.
Umewezaje kufahamu kama nashindwa hata kujiombea mimi mwenyewe!! Onyesha ukomavu wa akili hata asilimia 1. Kila mtu Ana mfumo wake wa kuabudu hayo mengine ya kuwaomba waliokufa mimi sishiriki hiyo shiriki. Ndio maana namuombea huyu aliekuwa hai.
Nasisitiza acha siasa na mihemko ya kisiasa.
 
Sawa Mkuu Korodani. Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom