Mungu akisema ni wewe mteule, hata nani azuie hataweza...

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,835
16,696
Nimerudi kwa speed of light.. 3.0 x 10e8

EL ndio naona Mungu kamwangazia Nyota yake...!!!

Hata nani aje, hakuna tena wa kumzuia,
EL kama Yesu or Mtume SAW...!!

Mungu akisema ww ndie mteule wake, hakuna wa kuzuia, labda ushindane na Mungu sasa...!!

Asante Mungu, sifa na utukufu vyote virudi kwako...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom