Elections 2010 Mungai apandishwa kizimbani kwa rushwa



attachment.php


Ameficha uso wake kwa aibu




View attachment 12504

Jamani nielekezeni zinakouzwa hizi kofia za pama. Unajua mwenzako akinyolewa we tia maji.... Au aliachiwa na Dito?!!! Mwakalebela naye atafute ya kwake mapema...
 
TAKUKURU should be disbanded ili Uchaguzi ufanyike kwa amani. Mimi sjaifanya uchunguzi wowote kuhusu Campaign Finance laws,kwa sababu sheria kama hizo hazinihusu mimi,kwa vile mimi sina hela nyingi. Lakini nadhani watu wanaongea kuhusu Campaign Finance reform wanapoona kwamba,from the way things are going,nwisho wake watakaoweza kugombea Uchaguzi ni Bill Gates tu na Warren Buffet.
Lakini kumpeleka mtu mahakani kwa vile ametoa rushwa ya sh. 10,000,this is ridiculuos. Niliponunua kadi ya Chama Cha Mapinduzi miezi michache iliyopita,nilitoa rushwa kama hiyo,I handed out sh.10,000 notes again and again. Kwa sababu unapovaa designer shoes,halafu unamuona mtu mwingine hana kanda mbili,you are compelled to do such things.

OMG!!!

Kumbe sometimes sio tu shetani anamtafuta na kumshawishi binadamu, kumbe hata binadamu
tunamtafuta na kumshawishi shetani!!!
 
Rushwa ni ushawishi wowote ili upate upendeleo fulani. Na wale waliopokea rushwa nao wametenda kosa vile vile. LAKINI mimi bado haingii akilini kama makubaliano ilikuwa wampe KURA kuna ushahidi walimpa kura, mfano kama unataka ufungiwe umeme Tanesco unatoa kitu kidogo na umeme unapata, sasa huyu Bwana mbona hajapata kura kama kweli alitoa rushwa? Mimi nahisi huyu Bwana kuna kitu amewahoji watu wa Takukuru kuhusiana na mgombea aliyeshinda na Takukuru wameamua kumnyamazisha.
 
This is victimization scheme. I can't believe there is a person in CCM safe from this malice. Practically all the contestants were involved in this dirty game. I tell you the true culprits of this are not being touched. I will only believe we have a serious government when RA and ENL are touched, they practically pushed this Somali fellow in Nzega into prominance and finally victory using their money and influence.

Nzega walikuwa wanagawa pesa hadharani kwa pikipiki na PCCB waliambiwa lakini kwa sababu wanazozijua hawakujishughulisha, kila mtu Nzega alijua kuwa kuna pesa zimetolewa na RA pamoja na ENL kwa ajili ya kuhakikisha Selelii anapotea kumpisha kibaraka wao wa Kisomali.... sitaki kuwa mbaguzi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu kuwa Mnyakyusa ukienda hata hapa Zanzibar huwezi kuruhusiwa hata kupiga kura achilia mbali kuwa mbunge, sembuse Somalia, Arabuni, au India?
 
Its not surprising at all, na wala tusitegemee anything.... tulishawaona akina Yona, Mramba, rage nk. na hadi leo wanapeta

Its just another political mickey out to fool poor Tanzanians
 
duh kweli hali ni mbaya ujue hawa jamaa walizoea kuingia madarakani kwa pochi sasa kimegeuka
 
Lakini kumpeleka mtu mahakani kwa vile ametoa rushwa ya sh. 10,000,this is ridiculuos. Niliponunua kadi ya Chama Cha Mapinduzi miezi michache iliyopita,nilitoa rushwa kama hiyo,I handed out sh.10,000 notes again and again.

Hii nayo mpya!!!! Makamba anajua? Maana kuna watu walikuwa wanatafutwa ili wapewe buku 10 na kadi ya chama juu!!
 
CCM wana mambo!

JK amewachoka hawa Wazee and for sure will do whatever it takes to off-load them!
 
aamungai.jpg


*NI KWA TUHUMA ZA KUTOA RUSHWA KURA ZA MAONI CCM

Tumaini Msowoya na Hakimu Mwafongo, Iringa
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Iringa imewafikisha mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Mufindi Kaskazini, Joseph Mungai na Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Frederick Mwakalebela kwa tuhuma za kutoa rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM.

Katika mchakato huo, Mungai alikuwa anawania ubunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini na Mwakalebela alikuwa akiwania ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.

Mungai ambaye aliangushwa katika kura hizo za maoni baada ya kupata kura 3,430 akiongozwa na Mahmud Mgimwa, jana alifikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Iringa kujibu mashtaka 15.
 
sheria ichukue mkondo wake kama kweli lakini ubabaishaji wa kutaka takukuru ionekana imewashukia kwa bahati mbaya hatutaki......................................................rushwa kubwakubwa zinazoonekana hata kwa vipofu kama ile ya richmond hawaoni
 
masikini mweeeeeeeeeeeee!
mazoweya yana tabu! Mzee kama huyu hakusikia ushauri wa Mzindakaya na Mzee Kimiti, ona sasa mambo yanaenda mrama. Anyway pole mzee Mungai, Mafinga umefanya makuu ila ulitakiwa uwape fursa na wengine wafanye kazi.
Mwaisa Fredrick hivi vile viingilio vya shamba la bibi mlivyokuwa mkibania ndo umewapa wanyalu, ona na wewe mambo yamekuwa mambo. Ungeulizaga yalikuwaje kwa mwenzio Kitine, walimlia pesa zake kisha wakamtosa, na wewe umeingia mtegoni, Hela wamekula na kura wakakupa na kesi umeipata. Uuuuuuuuuuuuwi! mwadada nongwa ndodi
 
masikini mweeeeeeeeeeeee!
Mazoweya yana tabu! Mzee kama huyu hakusikia ushauri wa mzindakaya na mzee kimiti, ona sasa mambo yanaenda mrama. Anyway pole mzee mungai, mafinga umefanya makuu ila ulitakiwa uwape fursa na wengine wafanye kazi.
Mwaisa fredrick hivi vile viingilio vya shamba la bibi mlivyokuwa mkibania ndo umewapa wanyalu, ona na wewe mambo yamekuwa mambo. Ungeulizaga yalikuwaje kwa mwenzio kitine, walimlia pesa zake kisha wakamtosa, na wewe umeingia mtegoni, hela wamekula na kura wakakupa na kesi umeipata. Uuuuuuuuuuuuwi! Mwadada nongwa ndodi


mwakalebela tulimwambia laana za kuwaibia watanzania azifiki mbali bora umuibie mtanzania wee mnatengeneza kitabu feki cha laki nane mnakuza zaidi ya 8 na bla huruma mungu lazima akutafute sehemu ya kukuchapa kakofi
 
Bora hata Mwakalebera, Mungai huchoki?????? griiiiiii. Mshahara wa dhambi ni mauti na malipo ni hapa hapa Bongo
 
Wenyewe nasikia wameulizwa imekuwaje wanadai """bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe"""sijui bwana yupi ""wanaemsema nahisi wameshajua sasa ubunge basi masikini mwaakalebela walimwambia awekeze kwenye biashara pesa za tff kahisi uccm ni rahisi kuhonga na kupata ubunge loh!!!
 
Back
Top Bottom