Sidhani, nahisi ni mnyamweziHuyo Munde ni mchaga?
Sidhani, nahisi ni mnyamweziHuyo Munde ni mchaga?
WATARAMU ndio nini mkuu?Hatari sana tunakosa wataramu
Sasa nawe si ukafungue kesi yako ya jinai mkuu kwamba umetukanwa matusi ya nguoni?Mbunge muongo sana huyu,!!!! kupiga wanawake siku haipo kawaida ni tofauti na zamani, wazee wa zamani mke akikosa anamcharaza mikwaju mbele ya hadhara na hakuna anayeingilia ila sasa ukimgusa kibao kimoja tu mwanamke unakamatwa unatupwa polisi dawati la jinsia mashitaka teleeee umenyanyasa kijinsia umedhuru mwili shambulio nk nk bila kujali huyo mwanamke alikutukana matusi ya nguoni ambalo nalo ni kosa la jinai.