Ukaguzi ufanyike wizara ya ujenzi !!??? Hapana,ataumbuka,ufanyike kuhusu hamisha hamisha ya pesa kutoka huku kwenda kule na ziliAnajikwamisha mwenyewe! Anaelewa kwa nini amebana! Atafanyia kazi report ya miaka 3.....iliyopita! Mwakani ndio atawapa tena fedha! Mwak huu watulie ofisini!!
Mbunge wa viti maalum, Munde Tambwe Abdallah amesema kitendo cha Serikali kupunguza fedha za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kitakwamisha kasi ya Rais Pombe Magufuli ya kupambana na mafisadi.
Hata mimi sijamwelewa kabisaMagufuli ndio Mkuu wa serikali halafu unasema serikali inamkwamisha magufuli...hovyo kabisa