Mumewe atembea na msichana wa kazi na kupangisha nae chumba mtaa wa pili

Asante dear .. I greet you too .. Dear haijalishi kama mkewe ana makosa , but to sleep with a house girl ? Common now.. Huyu mume atakuwa ndio kazi yake hata huko kazini kwake especially kwa kazi anayoifanya .. Jamani hata kama mkeo or mumeo hakuridhishi why you dont talk to her or him thats why we call marriage .. Hakuna kumuonea haya mkeo wala mumeo .. Hakuridhishi tell her or him so mjue nini mmfanye than to go to sleep hovyo hovyo outside of the marriage halafu at the end wanoathirika si wanandoa but ni kids zaidi , aagghhrr.. Lets say labda matendo ya mke .. Je alioongea nae ? Na kama aliona hajirekebishi why asingeaachana nae kwa amani tuu .. Ingekuwa better than to sleep with a house girl in the house prabably the same bed .. Inauma sana .. The way I feel kama Mimi ndio nilifanyiwa hivi .. Inauma tena saana.. Haki He is a dog , a really dog and monster .. .... A husband like this Baba niepushie , maana acha tuu .. And I hope she will never take him back .. Thanks..
Tatizo hapa tumepata maelezo ya upande mmoja ila lazima kuna kitu kimejificha. Unajua mwanamke mwenye kipato kikubwa kuolewa na mwanaume mwenye kipato kidogo huyu mwanamke anatakiwa awe na hekima sana. Kwa mfano siku wakigombana na mke akamuambia mumewe mwanaume gani wewe kila kitu nimekupa' neno hilo haliwezi kuondoka moyoni kwa mwanaume na linaondoa upendo wote.
 
Mpendwa are you serious? Try not to judge kwa kupitia gender stereo types .. Why always its okay for men to do wrong but its not okay for women to do wrong ? Please dont take this issue very lightly .. Hakuna kutetea hapa.. Hata kama a wife was wrong ndio ka deserve kuchitiwa ? Kwa nini asiongee na mkewe before decided doing that crazy thing .. Okay hammjali mkewe kwa kuwa labda amekosa , what about his own freaking blood , did he ever think about that ? Hivi angekuwa mkeo au mwanammke kafanya hivi na house boy in your own house and bedroom , je mngejibu hivi ? Au because ni husband ambaye ni mwanamme mwenzio so he has a right to do this so its okay .. I do understand there is no an easy marriage . But how can he waste everythig especially kids , common now.. for his own pleasure .. Aliona ubaya gani wa kumuambia mkewe hamtaki tena , this it would be way better than disgraceful and shameful He brought to his wife .. Aaaghhhrr .. Husband screwed up a big time and he will never go far with this haki atalipwa soon na Mungu , wait .. Soon na yeye atakuja Jf to ask for the advice how to win his wife back.. Or kupoteza vyote alivyo navyo now, na kuanza ku go crazy .. I saw this before .. And I see coming soon to him .. Moyo wa mtu na watoto ni vitu vyenye nguvu sana haswa vitoapo vilio .. Thanks..
Nakubaliana nawe ila hapa pekundu naomba kutofautiana nawe. Kwa mwanamke ni sawa ila kwa mwanaume tulio wengi unapoweka dushe ndipo pa muhimu kuliko WATOTO and she is a determining factor for your relationship with your biological kids.
 
Kaharibu jamaa mmoja, unatuhusisha wanaume wote. SMH!

Anyway, wewe kama rafiki unaweza kumsaidia kuua kwa mikono yako, halafu tutakukabidhi katika mikono ya sheria.
Ndo huwa nashangaa..mwanamke akilizwa na mume/boyfriend ni rahisi kuja hapa na conclusion ya kwamba wanaume wote wako hivo. Mi huwa nawaambia ni yeyote anaweza mtenda mwenzake maana hata wanawake wanaowafanyia wanaume vituko nao wapo. Tatizo huwa inapofika zamu yako. Kama we ni me utalaamu ke na kama ni le atalaaume me. Mi naomba huyu mume wake asimfananishe ma wanaume wote hapa duniani.
 
Kumbe unafahamu umuhimu Wa mazungumzo.

Kwanini nawewe usimshauri Huyo rafiki yako asimkalishe chini Mme wake wayaongeee? Kama unajua no body is perfect!
Kwa mwanamke unasosema no body is perfect

Kwa mwanaume....unamshauri amuue..tena unataka kumsaidia kukaba....

Emoj my friend.....honestly Hebu tubu kwanza hii dhambi ya mawazo mabaya kwa Mungu.
Mpendwa kama sasa mwanaume ndo ana kiburi hivyo kuna la kukaa kuongea kweli?.anafanya kukomoa. nachukizwa sana na wanaume wanaotumia makosa ya wanawake kwenye ndoa kama sababu ya kuchepuka
 
Tatizo hapa tumepata maelezo ya upande mmoja ila lazima kuna kitu kimejificha. Unajua mwanamke mwenye kipato kikubwa kuolewa na mwanaume mwenye kipato kidogo huyu mwanamke anatakiwa awe na hekima sana. Kwa mfano siku wakigombana na mke akamuambia mumewe mwanaume gani wewe kila kitu nimekupa' neno hilo haliwezi kuondoka moyoni kwa mwanaume na linaondoa upendo wote.

Dear kwa hiyo ndio akaona ni vyema ammlalie a house girl sio as a solution ...Siko hapa to defend him or her .. Hapa Kosa kubwa ni Uzinzi and I don't entertain Uzinzi .. Na angefanya huu Uzinzi wife hata watu wengine wasingejali about the other side story , wangemmshambulia Huyo wife mwanzo hadi mwisho.. Tuweni fair .. Thanks..
 
Mpendwa kama sasa mwanaume ndo ana kiburi hivyo kuna la kukaa kuongea kweli?.anafanya kukomoa. nachukizwa sana na wanaume wanaotumia makosa ya wanawake kwenye ndoa kama sababu ya kuchepuka

This is the thing I'm talking about .. But some people think I'm defend her , no . Tell your friend to move on with her life and focus on God and kids .. Wala asimfuate , amwachie hiyo gari na miradi alizoshea nae. Aaanze tena upya and God will see her through .. . Thanks ..
 
Nakubaliana nawe ila hapa pekundu naomba kutofautiana nawe. Kwa mwanamke ni sawa ila kwa mwanaume tulio wengi unapoweka dushe ndipo pa muhimu kuliko WATOTO and she is a determining factor for your relationship with your biological kids.
Dear I do understand .. But not all men are like that .. Some men love and praise their kids .. And always put their kids first Kabla ya chochote kile .. And that's why kuna wengine hata wagombane Vipi na mkewe if they have kids together . They will be extra careful on how to respond their actions and words by handle it very well .. Thanks..
 
Na pia ni kosa kusema mume wake kamdharau hadi kufikia kutembea na house girl,kwani house girl siyo mwanamke??sijapenda iyo kauli
 
Ni pm namba za huyo mwanamke nimliwaze na mimi...si umesema ana kazi nzuri, msomi, ana mawe ya nguvu.!!!
 
Mangimeli hiyo siyo dharu ni nn sasa!!kama umeenda kutomba housegril us if hana mke,tena mbaya zaidi nakuhama nae mtaa wa pili shenzi kabisa huyo mwanaume
 
Asante dear .. I greet you too .. Dear haijalishi kama mkewe ana makosa , but to sleep with a house girl ? Common now.. Huyu mume atakuwa ndio kazi yake hata huko kazini kwake especially kwa kazi anayoifanya .. Jamani hata kama mkeo or mumeo hakuridhishi why you dont talk to her or him thats why we call marriage .. Hakuna kumuonea haya mkeo wala mumeo .. Hakuridhishi tell her or him so mjue nini mmfanye than to go to sleep hovyo hovyo outside of the marriage halafu at the end wanoathirika si wanandoa but ni kids zaidi , aagghhrr.. Lets say labda matendo ya mke .. Je alioongea nae ? Na kama aliona hajirekebishi why asingeaachana nae kwa amani tuu .. Ingekuwa better than to sleep with a house girl in the house prabably the same bed .. Inauma sana .. The way I feel kama Mimi ndio nilifanyiwa hivi .. Inauma tena saana.. Haki He is a dog , a really dog and monster .. .... A husband like this Baba niepushie , maana acha tuu .. And I hope she will never take him back .. Thanks..
Wewe hujaolewa na hivyo huna locus ya kutoa opinion kwa jambo usilolijua..
 
Na pia ni kosa kusema mume wake kamdharau hadi kufikia kutembea na house girl,kwani house girl siyo mwanamke??sijapenda iyo kauli
sijamdharau housegirl mpendwa coz nae ni mtu.nadhani hujanielewa.ninchomaanisha kusema hivyo ni kuonesha namna huyu mwanaume alivyo na dharau kutembea na mwanamke ndani ya nyumba yake,madharau makubwa sana bora mara mia angeenda kufanya ufuska wake huko nje but sio ndani
 
Sawa mana kitanda hicho hicho!!ulichokuwa unalalia na mkeo ndo na house H G,hapohapo jamani mbaya hiyo,na imekaa vibaya sana
 
Dear I do understand .. But not all men are like that .. Some men love and praise their kids .. And always put their kids first Kabla ya chochote kile .. And that's why kuna wengine hata wagombane Vipi na mkewe if they have kids together . They will be extra careful on how to respond their actions and words by handle it very well .. Thanks..
my dear I can not generalize but a good number of us tupo vile. Issue ni pale mnapokuwa Na differences Na mama akatamka kuwa niachie wanangu, we always feel bad and one might turn to disown them. This is a naked truth and do not forget the inferiority that prevailed in the said family, it's is for a man to be in the same situation my dear
 
Wewe maisha yao ya ndan unayajua mpaka useme yote hayoo? Hayo ni matokeo tu, tafuta chanzo mbea mkubwa we
 
Back
Top Bottom