Mumewe ana ukimwi yeye hana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mumewe ana ukimwi yeye hana

Discussion in 'JF Doctor' started by NAHUJA, Apr 29, 2011.

 1. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 11,219
  Likes Received: 11,111
  Trophy Points: 280
  Habari za kazi
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,597
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Discordant couples (mmoja ana HIV wakati mwingine hana) huwa zinatokea kwenye HIV/AIDS, na inawezekana ikawa mwanamke hana mwanaume anao (mara chache)...au mwanamke anao mwanaume hana (mara nyingi). Ni vigumu kuelezea kwa kweli lakini inatokea. Cha muhimu si imetokeaje, cha muhimu ni nini cha kufanya after that.

  Ni vizuri kama huyo dada amejua na amekubaliana na hali hiyo japo ana maswali mengi anajiuliza. La muhimu ni kumsindikiza mumewe akapate huduma husika katika kituo cha afya, amabapo watapata ushauri wa jinsi gani ya kushirikiana bila mwanamke kupata.

  Huyo dada kutopata maambukizi mpaka sasa haina maana kuwa hatapata. Nilishaona couple kama hiyo amabapo hata baada ya ushauri mwanamke aliendelea kumpa mumewe bila kinga na baada ya mwaka mmoja na miezi 6 naye akawa positive.

  Ni vigumu kidogo kudeal na discordant couple kwa sababu no matter the support you can give your sick partner, kuna psychological trauma kati yenu na wakati mwingine unyanyapaa unaweza kutokea au mgonjwa akahisi amenyanyapaliwa bila hata kunyanyapaliwa kweli! Wanahitaji sana huduma ya ushauri nasaha na jinsi gani ya kuendelea!
   
 3. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 11,219
  Likes Received: 11,111
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa ushauri nitakwenda kumueleza maana yeye alikuwa anajipa moyo kwamba mwili wake una kinga kubwa kiasi kwamba hata akitembea na wengine hatapata ukimwi.

  ahsante sana ndugu yangu
   
 4. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nadhani wanaweza kuendelea kuishi bila ya kufanya mapenzi kwa faida ya watoto wao...kama wapo na kama bado wadogo
   
Loading...