Mumeo bwabwa!!!!

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Fikiri kwamba wewe ni dada mkali unalipa mbaya,umeolewa na kijana handsome ana mihela ya kufa mtu,siku moja unatoka kwenye mizunguko yako town,unapaki gari unamkuta mumeo anamegwa tigo tena na mdogo wako wa kiume,utafwariki au utajobhundred????
 
:doh:
 
watanzania wameanza kuwa obsessed na mambo ya kishoga.

Kila siku humu kuna thread mpya inayozungumzia jambo hilo.

na tukumbuke kuwa no publicity is bad publicity.
 
Inawezekana wanafanya kimya kimya u never know
 
Fikiri kwamba wewe ni dada mkali unalipa mbaya,umeolewa na kijana handsome ana mihela ya kufa mtu,siku moja unatoka kwenye mizunguko yako town,unapaki gari unamkuta mumeo anamegwa tigo tena na mdogo wako wa kiume,utafwariki au utajobhundred????

Mh leo...........hm.......,haya bana.........umetokea wapi lakini.......!!!???
 
watanzania wameanza kuwa obsessed na mambo ya kishoga.

Kila siku humu kuna thread mpya inayozungumzia jambo hilo.

na tukumbuke kuwa no publicity is bad publicity.

yawezekana kuwa ni tatizo la kijamii zaidi hili!!!!!
 
haya na wajadili kwa mpango wa hivi 'mumeo akiwa bwabwa', "ona huyu bwabwa alivyovaa", "alifanya mara moja lakini kakolea", "joti nae punga?", "kibao kata bila mabwabwa hakikolei?"

kisha tutakuja kupima madhara yake
 
Gaijin,

Ushoga Dar es Salaam upo sana - Nenda mitaa ya Kinondoni/Sinza/Manzese e.t.c Wapo wanaume wenye "uwezo" wanataka kurushwa ukuta kwa kwenda mbele! Pita Lilies, Sansiro, Mwika, Sinza, au Casablanca, Bamboo Kinondoni, e.t.c utaona vijana wanaendesha magari mazuri kumbe wanatafuta wakuwarusha ukuta!

Personally nimekutana nao wengi sana - Kwa maana mimi ni mpenzi wa kukaa kaunta baa yoyote ile ninayokuwapo!

Unaona jamaa linaingia, linaagiza, Jack Dan na Ice halafu linapiga pafu, baada ya dk 10, utasikia linaanzisha topic ya "kukandia" wasichana::: "Oh unajua kaunta ana bwana ake ni mfanyabiashara shemu fulani, Oh yule muhudumu anatembea a fulani, e.t.c" Baada ya hapo linakuuliza Kaka unaongeza? Ukisema naongeza, linasema Kaunta msikilize yule kaka, mara linaaza kujisogeza as time goes! Kumbuka hapo ni Kaunta ya Bar - Hayana haya haya ma-bwabwa!
 
Nakubaliana na wewe baba enock kuwa wapo wamejaa tele, lakini topic hizi zilizozagaa hapa JF ni kusaidia kulifanya jambo hili kuwa normal

Hii free publicity wanayopewa wanaifurahia kwa sana tu
 
Back
Top Bottom