Mumeo akibaka/akidhalilisha kijinsia, utafanya nini?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Kwa wanawake...

Sio swali zuri, lakini inabidi sometimes uwe umeshaliwekea principle ili siku yakikukuta usiamue kutokana na hasira...

Hivi kama mmeo unayempenda sana, kwa bahati mbaya siku 'amepitiwa na shetani' akakumwa na kesi ya kulazimisha ngono au kufanya ngono na msichana ambaye 'hajafika' umri'... Na kwa bahati mbaya au nzuri wewe una nafasi ya ama kumsaidia au kummaliza katika kesi mahakamani...

Je, uta-act vipi? Upo radhi hata kutumia mbinu zisizo halali kumuokoa mumeo?

Utaacha haki ichukue mkondo wake?

Au utajitahidi kummaliza, ikiwezekana apotelee selo?
 
ataunganishwa na akina babu seya uko si raia mwema huyo!
 
Ni ngumu sana kiuhalisia,lkn binadamu wote hukosea either kwa makosa yanayofanana au tofauti lkn yote ni makosa. Ikitokea mume akawa mtuhumiwa wa hilo kosa,nitaangalia background yake kama ina makosa yanayohusiana na ngono kwa kiasi gani,pia nitaangalia uhusiano wetu kny ndoa ulikuwaje,kama si tabia yake aliyoizoea nitaplay part kumsaidia kwani huwezi jua kilichomfanya akafikia kufanya hivyo,naweza pia nimechangia au mazingira mengine yalimponza.
Lkn kama amekubuhu na relation ship yetu ina makovu mengi nitamuacha afundishwe na ulimwengu.
 
:mad2::mad2::mad2::mad2::rip::rip::rip:

kulazimisha ngono au kufanya ngono na msichana ambaye 'hajafika' umri'

kama nina uhakika asilimia mia ya mia ni kweli amefanya hivyo.....
kweli sintokaa nimsaidie kabisa.....
na nitapenda aende kwenye jela
ambayo hawezi hata kuhema....
 
ukisema msichana ambae hajafikia ni tata, labda kama ulimaanisha mtoto coz siku hizi hata wa miaka 10 wako sokoni
 
:mad2::mad2::mad2::mad2::rip::rip::rip:

kulazimisha ngono au kufanya ngono na msichana ambaye 'hajafika' umri'

kama nina uhakika asilimia mia ya mia ni kweli amefanya hivyo.....
kweli sintokaa nimsaidie kabisa.....
na nitapenda aende kwenye jela
ambayo hawezi hata kuhema....

Umeanza kuwa DJ tokea lini?
 
Na kama mkeo, mama watoto wako mpenzi.. kashtakiwa kakarubuni ka-serengeti...akakapa uroda?!
Utafanye...?
 
Mkosaji ni mkosaji tu, haijalishi kama ni mume wangu au baba mdogo...Sheria ni msumeno inakata pande zote, hivyo ichukue mkondo wake.
 
Labda ungeiweka vizuri hiyo story kwanza. Je alimbaka huyo mtoto? Au ni mpenzi wake? Mtoto ana umri gani?
 
Labda ungeiweka vizuri hiyo story kwanza. Je alimbaka huyo mtoto? Au ni mpenzi wake? Mtoto ana umri gani?
Na kweli umenena hapo maana kuna mijitu mingine inatia aibu yaani kinoma ...... ni afadhali hata kunya hadharani .........:lying:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom