Mume wangu nimemchoka mpaka akinisogelea nasikia harufu ya chatu

Sio poa lakini
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.

Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu.

The man is really caring. Juzi juzi nilikosa usingizi nikaamka nikawa nimekaa kitandani, namuangalia anavyo jigeuza geuza kitandani hadi nikaanza kulia kwa majuto. Alipoamka nikavunga kuwa tumbo linaniuma. Nikamuomba aniadalie uji.

Basi kwa haraka sana akaenda jikoni akaandaa uji na kuniletea.

Jamani nilipofikia naweza hata nikamlambisha sumu usingizini maana kwa kuwa ahajanikosea nikimuacha kutakuwa na drama nyingi sana toka kwa wazazi ndugu na majirani.

Kwa ufupi hajanikosea chochote lkn ni akili yangu tu ndiyo imemchoka mpk namsikia ananuka chatu.
 
Njoo PM nina dawa ya kurudisha penzi lenu kama zamani kipindi kile anakutongoza!
Nakuhakikishia utampenda.
Achana na mawazo ya kumlambisha sumu.
 
cha kushangaza. makahaba yaliyokubuhu hujifanya yameolewa yamewachoka wanaume. mwanamke aliye na mume huomba ushauri
 
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.

Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu.

The man is really caring. Juzi juzi nilikosa usingizi nikaamka nikawa nimekaa kitandani, namuangalia anavyo jigeuza geuza kitandani hadi nikaanza kulia kwa majuto. Alipoamka nikavunga kuwa tumbo linaniuma. Nikamuomba aniadalie uji.

Basi kwa haraka sana akaenda jikoni akaandaa uji na kuniletea.

Jamani nilipofikia naweza hata nikamlambisha sumu usingizini maana kwa kuwa ahajanikosea nikimuacha kutakuwa na drama nyingi sana toka kwa wazazi ndugu na majirani.

Kwa ufupi hajanikosea chochote lkn ni akili yangu tu ndiyo imemchoka mpk namsikia ananuka chatu.
Asilimia kubwa ya wapumbavu hawatambui vizuri walivyo navyo mpaka vinapoondoka na hamna chansi ya ķuvirudisha ndio huona umuhimu yake.
Madam, wewe ni mpumbavu tu.
 
Wewe ni mpumbavu namba moja Africa na duniani kote.
Hajawahi tokea mwanamke mpuuzi kama wewe!

Comment tayari!
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.

Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu.

The man is really caring. Juzi juzi nilikosa usingizi nikaamka nikawa nimekaa kitandani, namuangalia anavyo jigeuza geuza kitandani hadi nikaanza kulia kwa majuto. Alipoamka nikavunga kuwa tumbo linaniuma. Nikamuomba aniadalie uji.

Basi kwa haraka sana akaenda jikoni akaandaa uji na kuniletea.

Jamani nilipofikia naweza hata nikamlambisha sumu usingizini maana kwa kuwa ahajanikosea nikimuacha kutakuwa na drama nyingi sana toka kwa wazazi ndugu na majirani.

Kwa ufupi hajanikosea chochote lkn ni akili yangu tu ndiyo imemchoka mpk namsikia ananuka chatu.
 
Uzuri wa JamiiForums yani sio rahisi mtu kukutambua kama wewe ni mwanaume au mwanamke. Ukifuatilia nyuzi za huyu mleta uzi yani anabadilikabadilika kama kinyonga...
Sasa anatupa tabu mashirawadu
 
Tatizo ni kwamba wewe ushakuwa chatu tena anaconda ndio maana unaisikia hiyo harufu..sema tuu hujijui..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom