Mume wangu nimemchoka mpaka akinisogelea nasikia harufu ya chatu

Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.

Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu.

The man is really caring. Juzi juzi nilikosa usingizi nikaamka nikawa nimekaa kitandani, namuangalia anavyo jigeuza geuza kitandani hadi nikaanza kulia kwa majuto. Alipoamka nikavunga kuwa tumbo linaniuma. Nikamuomba aniadalie uji.

Basi kwa haraka sana akaenda jikoni akaandaa uji na kuniletea.

Jamani nilipofikia naweza hata nikamlambisha sumu usingizini maana kwa kuwa ahajanikosea nikimuacha kutakuwa na drama nyingi sana toka kwa wazazi ndugu na majirani.

Kwa ufupi hajanikosea chochote lkn ni akili yangu tu ndiyo imemchoka mpk namsikia ananuka chatu.
Chatu ananukiaje kwanza tuanzie hapo?
 
Jf forever
 
Binadamu pekee aliyeonana na SHETANI ana kwa ana na kuongea nae ni mwanamke. Mwanamume hajawahi hata kumwona shetani.
 
You're sexless after all, unaleta ujinga ili upate ku-trend.
 
Kunywa wewe sumu..unamuita dubwana wakati unalala nae jinga kabisa wewe...Sasa chatu mwenyewe ni yupi..i guess wewe ni chatu
 
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.

Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya hili dubwana. Najutia kuwa na hili dubwana ktk maisha yangu.

The man is really caring. Juzi juzi nilikosa usingizi nikaamka nikawa nimekaa kitandani, namuangalia anavyo jigeuza geuza kitandani hadi nikaanza kulia kwa majuto. Alipoamka nikavunga kuwa tumbo linaniuma. Nikamuomba aniadalie uji.

Basi kwa haraka sana akaenda jikoni akaandaa uji na kuniletea.

Jamani nilipofikia naweza hata nikamlambisha sumu usingizini maana kwa kuwa ahajanikosea nikimuacha kutakuwa na drama nyingi sana toka kwa wazazi ndugu na majirani.

Kwa ufupi hajanikosea chochote lkn ni akili yangu tu ndiyo imemchoka mpk namsikia ananuka chatu.
Nipe namba yako PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom