Mume wangu kaniruhusu nichepuke

acha uongo dingii ,mi napasua pisi balaa na nko chuga ila last time nimepiga nne niliamkiamaziwa na karanga ,pisi ilitaka kufa labda jamaa anakojoa kama bata
Oya Man kwa hiyo mi nshakuwa dingii sio? Mi ni manzi aisee
 
Hujamalizia vizuri jaribu kuimaliza stori yote huenda italeta mantiki na wadau wataelewa kiundani zaidi otherwise hawataki kuamini kbs ulichokiandika ni kama wanakuhukumu zaidi na hawaamini haya uliyoyaandika anaweza kuyafanya african woman

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima waamini, kimpango wao ebooo
 
Hii tabia ya kujifanya mwanamke.mwishowe utaanza kufanywa kama mwanamke.kwa nini jinsia ya kiume ya humu JF mnapenda kujifanya wanawake?
 
Kanizidi miaka 8,
Mi sio muhuni kiongozi najiheshimu na najielewa sana, na elimu si haba
Unajiheshimu kivipi, yaani unaleta mwanaume ndani ya nyumba na mumeo yupo halafu unasema wewe sio muhuni na kwamba unajiheshimu ?, elimu yako hiyo inakusaidiaje ?, ni bora usingesoma, mwanamke yeyote anapofanya uzinzi hata angekuwa Professor kwangu namuona ni mpumbavu, shame to you.
 
You bastard do you even know how to read between the lines, stupid by nature
 
Hili ni dume chafu linajifanya jike.

Unajiheshimu kivipi, yaani unaleta mwanaume ndani ya nyumba na mumeo yupo halafu unasema wewe sio muhuni na kwamba unajiheshimu ?, elimu yako hiyo inakusaidiaje ?, ni bora usingesoma, mwanamke yeyote anapofanya uzinzi hata angekuwa Professor kwangu namuona ni mpumbavu, shame to you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom