Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

Gwiyama

Senior Member
Aug 21, 2017
114
89
Mm skuafik uachane nae,h
Hapo ni suala la kukaa na kuona mtawezaje kusolve swala hilo,mmeo yuko na mawazo ya kutafuta pesa ili akutimizie mahitaj,alafu hilo suala la kumtegemea mmeo tu akutimizie mahitaj paspo wew kujishughulisha kuhakikisha unapata mahitj pmj syo,!!!!,tafuta na wew hela umpunguzie mmeo mzgo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyani mkindu

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
537
975
Uyo atakuwa ni mwanaume wa dar.
Karibu Kwetu kwa W A N A M U M E watokao kanda ya ziwa uje uchezee mshomboko
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,126
29,140
Hizi serikali sijui zitamaliza lini matatizo yake.

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
 
playboy babu

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
2,614
1,529
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
nenda kwa baba paroko alowafungisha pinguu, au sheikh kama n waislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lee Cho in

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
940
692
Bado cjaoa ila najaribu kuwaza kwa sauti HV ni sawa kwa mke kupublish vitu kama HV?!!!
 
Gne gner

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
503
276
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Kati ya hivyo viwili wewe unamtosheleza na nini,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9 Reactions
Reply
Top Bottom