Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji

mtoto wa mjini

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
1,755
891
Habari wana MMU,

Mume wangu ana tatizo la kuwahi kumwaga. Yaani dakika 2 tu ameshamaliza na kuniacha nikiwa nateseka huku nikiwa nina hamu. Tatizo hili limekuwa linanisababishia maumivu ya tumbo na kiukweli nikiwa naye sikuwahi kufika kileleni na kwa kuwa alinioa nikiwa bikira sikuweza kugundua mapema tatizo ni la nani.

Muda mwingi nilikuwa najichukia na kuwaza huenda mimi ndio nina tatizo na yeye mwenyewe wakati nikilalamika alikuwa ananiambia kuwa mimi ndio nina tatizo kwanini kila siku sifiki kileleni; mara nilikuwa siko tayari basi tu ilimradi nionekane tatizo liko kwangu.

Basi siku moja niliamua kujaribu nje, lol sitasahau ilikuwa ndio siku yangu ya kwanza kujua raha ya mapenzi. Sasa toka wakati huo nimekuwa simpendi kabisa mume wangu na nina mpango niachane naye kwani mbali na kutokuwa mzuri kitandani pia hatoi huduma kwa familia, kiufupi ni mvivu kila idara.

Naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuachana naye coz siwezi kuishi na mume ambaye anamaliza haja zake tu (mbinafsi).
Omba taraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doris Gabriel

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
1,045
867

Nawewe Dada yangu unataka kujibiwa hovyo unatufundisha nini ambao hatujaolewa kingine kwanini usitafute watu wazima au washenga wenu wakaongea nae kwanini unaleta mapungufu ya mumeo social network, pia toka lini umeona mwanamke anashindana Na mwanaume hata kama mwanaume anamapungufu gani tafuta njia yakumaliza matatizo ya mumeo Jamani wakati unaolewa hukufundwa wewe Jamani eeeeeheeee pia yaani unadiliki kumsaliti mumeo Wa ndoa tena unajisifu unanogewa kweli haitoshi u natamani umuache mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake mwenyewe Na mwanamke mwelevu ataijenga nyumba yake kwa akili zake Na mikono yake miwili Halafu duhhh Mimi sijaolewa ebu muache mumeo halafu uone apate mwenzio anaejua nini maana ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,182
408

Mwambie tu kuwa "Naomba tuachane kwasababu wewe mume wangu ni mvivu kila idara, familia hutunzi, lakini pia hujawahi kunifikisha kileleni, so nimepata serengeti boy ambae anweza yote hayo kuyatekeleza"

hapo nadhani utaweza kuachana nae, na maisha ukiona hayaendi na unataka kurudiana nae njoo uombe tukushauri tena.
 
Kumbe nawewe Hujaolewa kama ambavyo mimi sijaoa(joke), Safi sana nimependa ushauri uliompa mwenzio, kwakweli iwe funzo kwa wanawake wote, unawezaje kutoa siri za chumbani mwako kwenye social media. acha amwache ndio atajua nini maana ya mume na ndoa kwa ujumla.
 
dahhhhhh hakiyamungu hivi hawa wanaoolewa sikuizi hamna kufundwa au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHIEF MP

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
1,559
676
Umeamua afu unakuja kuomba ushauri. Ovyo kabisaaa.

Utajua mwenyew, usisahau kuja kutupa updates tuu
 
be unique

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,336
2,190
Jamaa mbona mzembe hela hana hata nguvu za kitandani pia,kama ana matatizo msaidie yanatibika.

Akili za usiku
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Top Bottom