Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

Sasa Ndugu, umeshasikia wapi mimba inatafutwa kwa kupima pH ya k? Na mwanaume kajibeba kwenda kufanya sperm count test akaacha mkewe nyumbani!
Me mwenyewe sielewi kwa nn niliamua kuchangia huu uzi!?? Maana hata kwa akili ya kawaida tu,hata km mtu hajasoma kabisaa,huu ni uongo tena uliokomaa!
 
Jf ishakuwa kama Facebook sasa. Au mnajifunza kutunga hadithi? Watu wenye shida kweli wanashindwa kusaidika kisa utunzi ni mwingi.
Hii ni ya kutunga 100%.
Ina maana wewe hukupimwa kama uko sawa? Mirija imekatwa na imefungwa unapata hedhi?
Mumeo anasemaje juu ya we kutopata hedhi? Dr alikupima akasemaje? Au nae ulimhonga afiche ukweli?
 
Ww umeshindwa kumwambia,ina maana madaktari nao wameshindwa kumwambia!?? Naamini hawezi kushughulikia tatizo km hilo bila kwenda na ww kufanyiwa vipimo,na vipimo lazma vionyeshe kuwa huna uzazi..!! Otherwise,umeamua kutunga hadithi....
nilitaka kuumuliza hivo ina maana kote wanakopima hawajajua shida ni nini?
 
Ni mwaka wa 6 huu sasa tangu mimi na mume wangu tufunge ndoa takatifu, lakini mpaka sasa hatuna mtoto hata mmoja.

Mume wangu amechukua hatua mbalimbali zinazomgharimu fedha nyingi ili kutatua tatizo la kukosa mtoto katika ndoa yetu bila ya mafanikio.

Lakini siri hii nzito ninayo mimi. Ukweli ni kwamba mimi siwezi kushika ujauzito tena kwa kuwa nilishatolewa kizazi nilipohitimu kidato cha 6 baada ya kushika ujauzito enzi hizo.

Kwanini nilitoa kizazi? Nilipopata ujauzito huo, kwa siri kubwa nilienda kumuona daktari ili anitoe mimba hiyo kuepuka balaa kwa wazazi wangu. Daktari alitumia njia ya kuchokonoa kwa vyuma ili kuitoa mimba ile. Lakini baada ya wiki 2 kupita tangu zoezi hilo kufanyika bado niliona dalili za mimba zikiendekea. Nilirudi tena kwa yule daktari. Aliponipima akagundua bado imo.

Ikanilazimu kurudia kuchokonolewa tena. Baada ya hapo niliugua tumbo mwezi mzima, na kisha ikabainika kuwa mfuko wa uzazi (uterus) na sehemu ya mirija ya uzazi vinaoza. Ndipo daktari mwingine kabisa katika hospitali fulani akanishauri niikwangue (niondoe layer ya) uterus na niikate mirija (fallopians) ili kunusuru maisha yangu.

Yote haya yalifanyika kwa siri kubwa kwa msaada wa familia ya bf wangu lakini pia nikawa nawapiga hela baadhi ya ndugu na wazazi wangu. Kifupi siri hii hata wazazi wangu hawaijui. Kwasababu muda mwingi walikuwa wako safarini kikazi.

Nilipokuwa chuo kikuu nikisoma shahada ya kwanza mwaka wa tatu ndipo nikakutana na huyu mume wangu. Naye sijawahi kumwambia hata.

Kiukweli anahangaika na mimi sana, mara akanipime pH ya K, mara akapimwee sperm count, mara akapimwe sperm motility anakuta vyote sawa.

Kumwambia naogopa ndoa inaweza kubomoka. Nifanyeje wanaJF?
Browse realistic to your husband. It won't cost you anything.
Kama kweli anakupenda atakuvumilia kwa hali uliyo nayo. Kuna option nyingi za kupata watoto.
Adoption ama azae na mwanamke mwingine nje ya ndoa
 
Ndiyo nasikia kwako mkuu. Kwamba ndoa ni kutoa siri
Pengine hujamuelewa huyu ndugu anaposema, ndoa haipo hapo.

Kama ulivyoanza kuiita ndoa takatifu, kama ni mkristo na hasa wakatoliki, ndoa yoyote ikifungwa kwenye mazingira ya uongo kama huo basi inakuwa batili na inavunjwa bila kupepesa macho.

Kama uliolewa bila kujua kuwa pengine jamaa hakunjui mwamvuli, kama ulioa bila kujua mwenzio hana kizazi au hana njia ya kike n.k ilihali mhusika anajua ukweli, NDOA INABATILISHWA.

Kwa wewe, kwakuwa umedhamiria kumtesa kiumbe wa Mungu bila huruma wala utu(Human face jamaa alisema) na si ajabu unatembeza BAKULI hasa(Mjasiri haachi asili), basi Mungu akujaalie upate RETURN YAKE wewe mwenyewe, akuweke uishuhudie na kuiishi.....Amen
 
Ni mwaka wa 6 huu sasa tangu mimi na mume wangu tufunge ndoa takatifu, lakini mpaka sasa hatuna mtoto hata mmoja.

Mume wangu amechukua hatua mbalimbali zinazomgharimu fedha nyingi ili kutatua tatizo la kukosa mtoto katika ndoa yetu bila ya mafanikio.

Lakini siri hii nzito ninayo mimi. Ukweli ni kwamba mimi siwezi kushika ujauzito tena kwa kuwa nilishatolewa kizazi nilipohitimu kidato cha 6 baada ya kushika ujauzito enzi hizo.

Kwanini nilitoa kizazi? Nilipopata ujauzito huo, kwa siri kubwa nilienda kumuona daktari ili anitoe mimba hiyo kuepuka balaa kwa wazazi wangu. Daktari alitumia njia ya kuchokonoa kwa vyuma ili kuitoa mimba ile. Lakini baada ya wiki 2 kupita tangu zoezi hilo kufanyika bado niliona dalili za mimba zikiendekea. Nilirudi tena kwa yule daktari. Aliponipima akagundua bado imo.

Ikanilazimu kurudia kuchokonolewa tena. Baada ya hapo niliugua tumbo mwezi mzima, na kisha ikabainika kuwa mfuko wa uzazi (uterus) na sehemu ya mirija ya uzazi vinaoza. Ndipo daktari mwingine kabisa katika hospitali fulani akanishauri niikwangue (niondoe layer ya) uterus na niikate mirija (fallopians) ili kunusuru maisha yangu.

Yote haya yalifanyika kwa siri kubwa kwa msaada wa familia ya bf wangu lakini pia nikawa nawapiga hela baadhi ya ndugu na wazazi wangu. Kifupi siri hii hata wazazi wangu hawaijui. Kwasababu muda mwingi walikuwa wako safarini kikazi.

Nilipokuwa chuo kikuu nikisoma shahada ya kwanza mwaka wa tatu ndipo nikakutana na huyu mume wangu. Naye sijawahi kumwambia hata.

Kiukweli anahangaika na mimi sana, mara akanipime pH ya K, mara akapimwee sperm count, mara akapimwe sperm motility anakuta vyote sawa.

Kumwambia naogopa ndoa inaweza kubomoka. Nifanyeje wanaJF?

Hii stori imekaa kiuongo-uongo...kweli daktari awe anachunguza infertility kwenye couple asahau kufanya kipimo basic tu cha ultrasound?! Ultrasound itaonyesha hakuna mfuko wa uzazi (uterus)!
 
Ni mwaka wa 6 huu sasa tangu mimi na mume wangu tufunge ndoa takatifu, lakini mpaka sasa hatuna mtoto hata mmoja.

Mume wangu amechukua hatua mbalimbali zinazomgharimu fedha nyingi ili kutatua tatizo la kukosa mtoto katika ndoa yetu bila ya mafanikio.

Lakini siri hii nzito ninayo mimi. Ukweli ni kwamba mimi siwezi kushika ujauzito tena kwa kuwa nilishatolewa kizazi nilipohitimu kidato cha 6 baada ya kushika ujauzito enzi hizo.

Kwanini nilitoa kizazi? Nilipopata ujauzito huo, kwa siri kubwa nilienda kumuona daktari ili anitoe mimba hiyo kuepuka balaa kwa wazazi wangu. Daktari alitumia njia ya kuchokonoa kwa vyuma ili kuitoa mimba ile. Lakini baada ya wiki 2 kupita tangu zoezi hilo kufanyika bado niliona dalili za mimba zikiendekea. Nilirudi tena kwa yule daktari. Aliponipima akagundua bado imo.

Ikanilazimu kurudia kuchokonolewa tena. Baada ya hapo niliugua tumbo mwezi mzima, na kisha ikabainika kuwa mfuko wa uzazi (uterus) na sehemu ya mirija ya uzazi vinaoza. Ndipo daktari mwingine kabisa katika hospitali fulani akanishauri niikwangue (niondoe layer ya) uterus na niikate mirija (fallopians) ili kunusuru maisha yangu.

Yote haya yalifanyika kwa siri kubwa kwa msaada wa familia ya bf wangu lakini pia nikawa nawapiga hela baadhi ya ndugu na wazazi wangu. Kifupi siri hii hata wazazi wangu hawaijui. Kwasababu muda mwingi walikuwa wako safarini kikazi.

Nilipokuwa chuo kikuu nikisoma shahada ya kwanza mwaka wa tatu ndipo nikakutana na huyu mume wangu. Naye sijawahi kumwambia hata.

Kiukweli anahangaika na mimi sana, mara akanipime pH ya K, mara akapimwee sperm count, mara akapimwe sperm motility anakuta vyote sawa.

Kumwambia naogopa ndoa inaweza kubomoka. Nifanyeje wanaJF?
Ushauri ninaoweza kukupa ni kuwa mruhusu tu mumeo aoe mke mwingine wa pili ii apate watoto atakupenda zaidi kwa hilo la kumruhusu.... Maana usipo fanya hivyo atazini na kuwa na wanawake wengine kwa siri kitu ambacho ni kibaya zaidi.
Atakapo pata watoto hao pia ni watoto wako mtalea na bila shaka maisha yenu yatakuwa ya furaha..
 
Ni mwaka wa 6 huu sasa tangu mimi motility anakuta vyote sawa.

Kumwambia naogopa ndoa inaweza kubomoka. Nifanyeje wanaJF?
acha fix, ina maana yeye hana akili ya kwenda kukupima wewe agundue hilo tatizo? ina maana mtu aliyetoa kizazi vipimo havioneshagi?
 
Ndiyo nasikia kwako mkuu. Kwamba ndoa ni kutoa siri
Mpaka hapo ndoa yako ni batili, na ikijulikana kizazi kilitolewa muda mrefu na hukusema na ukafunga ndoa basi hapo wewe mpaka leo unazini ila mumeo anajua kaoa,ndoa itatenguliwa na kanisa halafu aambiwe akuoe tena akiwa anajua huna kizazi, hapo sidhani kama atakurudia
 
Ni mwaka wa 6 huu sasa tangu mimi na mume wangu tufunge ndoa takatifu, lakini mpaka sasa hatuna mtoto hata mmoja.

Mume wangu amechukua hatua mbalimbali zinazomgharimu fedha nyingi ili kutatua tatizo la kukosa mtoto katika ndoa yetu bila ya mafanikio.

Lakini siri hii nzito ninayo mimi. Ukweli ni kwamba mimi siwezi kushika ujauzito tena kwa kuwa nilishatolewa kizazi nilipohitimu kidato cha 6 baada ya kushika ujauzito enzi hizo.

Kwanini nilitoa kizazi? Nilipopata ujauzito huo, kwa siri kubwa nilienda kumuona daktari ili anitoe mimba hiyo kuepuka balaa kwa wazazi wangu. Daktari alitumia njia ya kuchokonoa kwa vyuma ili kuitoa mimba ile. Lakini baada ya wiki 2 kupita tangu zoezi hilo kufanyika bado niliona dalili za mimba zikiendekea. Nilirudi tena kwa yule daktari. Aliponipima akagundua bado imo.

Ikanilazimu kurudia kuchokonolewa tena. Baada ya hapo niliugua tumbo mwezi mzima, na kisha ikabainika kuwa mfuko wa uzazi (uterus) na sehemu ya mirija ya uzazi vinaoza. Ndipo daktari mwingine kabisa katika hospitali fulani akanishauri niikwangue (niondoe layer ya) uterus na niikate mirija (fallopians) ili kunusuru maisha yangu.

Yote haya yalifanyika kwa siri kubwa kwa msaada wa familia ya bf wangu lakini pia nikawa nawapiga hela baadhi ya ndugu na wazazi wangu. Kifupi siri hii hata wazazi wangu hawaijui. Kwasababu muda mwingi walikuwa wako safarini kikazi.

Nilipokuwa chuo kikuu nikisoma shahada ya kwanza mwaka wa tatu ndipo nikakutana na huyu mume wangu. Naye sijawahi kumwambia hata.

Kiukweli anahangaika na mimi sana, mara akanipime pH ya K, mara akapimwee sperm count, mara akapimwe sperm motility anakuta vyote sawa.

Kumwambia naogopa ndoa inaweza kubomoka. Nifanyeje wanaJF?
yani wewe unatakiwa utubu sana.kwanza umeua.umemdanganya mumeo.leo unakuja kuongea ujinga humu
 
Siwezi kukulaumu, huo ni mpango wa shetani. Kukaa kimya pia ni mpango wa shetani. Nini ufanye: TUBU KWA MUNGU, KUWA MUWAZI KWA MUMEO. LET Jesus take control of your life. I don't care which dominion you come from..., there is no problem Jesus cannot solve. Labda nikupe ushuhuda, nimeona wengi wamezaa wenye tatizo hilo la kutolewa kizazi. Shut up! Don't bring your stupid science here..., Mungu ndio kaumba vyote hashindwi kurejesha. Ukiwa muwazi pm nikupe ubuyu wote. Don't shy..,
 
Mruhusu azae nje
Kubali kuwa mke wa pili
Usimwambie siri ingawa umetwambia sisi
Ukimwambia anaweza kukuacha
Jifanye Sarah umshauri Abraham azae na hagai mjakazi
 
Huyo Mme wako Naye wa ajabu lol,,,hajawahi kushangaa kwanini huendi mwezini??(hapo unakimbilia gugo faster kusoma...hahahahaaa)
Au unavaaga pedi cha uongo??
BTW hizi ni fix dus y umelimit watu wasiview profile yako,lazima kuna thread zinajicontradict na hii.
Wewe si ndiye uliyesema kuwa huna hisia na mumeo na unataka kuolewa na workmate wako??(I stand to be corrected)
 
Kama unaogopa kumwambia ,nipe contact zake nikusaidie-ila jiandae kwa lolote lile
 
Back
Top Bottom