Mume wangu amenitenga baada ya kupinga manyanyaso ya ndugu zake

Lonely heart

Member
Oct 21, 2011
46
20
Habarini ndugu zangu...nilishawah kuja hapa kuwaelezea manyanyaso niyapatayo kwa mama na dada wa mume wangu,Mkanishauri na kweli nilisimama na kusema NO!

Kilichofuata ni visa toka kwa mume wangu,ikapelekea yeye kuninyima hela za matibabu nilipokua mjamzito ambapo nilikua naumwa na kulazwa mara kwa mara,ikalazmika niwe najihudumia matibabu mwenyewe,nilijitahidi sana kuvumilia lakini kila nilipotoka hosp. Nilikua narudishwa wiki chache baadae na kulazwa tena na nilikua nableed na mimba ilikua inataka kutoka, kwa kweli niliteseka sana yani sana na ujauzito kwani Mume wangu alikua ananinyanyasa saana.

na kutokana na kulia mara kwa mara kitovu cha mtoto kikajisokota shingoni mwake na kumfanya aheme kwa shida na akawa hachezi tena,Nikaamua kwenda hosp. Kuwaeleza wakanifanyia utrasound na kugundua kuwa mapigo ya moyo ya mtoto yanaenda taratibu sana na huenda mtoto akafia tumboni muda mchache,Wakaniambia wananifanyia upasuaji mda uleule ili wajaribu kumwokoa mtoto,(wiki ya 33 ya ujauzito)

walinipasua na kunitoa mtoto wa kiume lakini alikua hawez kuhema vizuri,Wakamwekea oksjen ikamsaidia na anaendelea kukua vzuri...,Baada ya kujifungua visa ndo vimezidi,Mume wangu amenitenga kbs hataki kuskia habari zangu wala za mtoto, na alishanifukuza chumbani kwetu siku nyingi toka nikiwa na ujauzto wa miez 5 mpaka sasa,nimemwambia km hanihtaji anipetalaka nirudi kwetu watoto nitalea mwenyewe,Hataki,

NIFANYEJE JAMANI NAOMBENI USHAURI
 
Habarini ndugu zangu...nilishawah kuja hapa kuwaelezea manyanyaso niyapatayo kwa mama na dada wa mume wangu,Mkanishauri na kweli nilisimama na kusema NO! Kilichofuata ni visa toka kwa mume wangu,ikapelekea yeye kuninyima hela za matibabu nilipokua mjamzito ambapo nilikua naumwa na kulazwa mara kwa mara,ikalazmika niwe najihudumia matibabu mwenyewe,nilijitahidi sana kuvumilia lakini kila nilipotoka hosp. Nilikua narudishwa wiki chache baadae na kulazwa tena na nilikua nableed na mimba ilikua inataka kutoka, kwa kweli niliteseka sana yani sana na ujauzito kwani Mume wangu alikua ananinyanyasa saana,na kutokana na kulia mara kwa mara kitovu cha mtoto kikajisokota shingoni mwake na kumfanya aheme kwa shida na akawa hachezi tena,Nikaamua kwenda hosp. Kuwaeleza wakanifanyia utrasound na kugundua kuwa mapigo ya moyo ya mtoto yanaenda taratibu sana na huenda mtoto akafia tumboni muda mchache,Wakaniambia wananifanyia upasuaji mda uleule ili wajaribu kumwokoa mtoto,(wiki ya 33 ya ujauzito),

Pole sana! Usikate tamaa, endeleza mapambano.
 
walinipasua na kunitoa mtoto wa kiume lakini alikua hawez kuhema vizuri,Wakamwekea oksjen ikamsaidia na anaendelea kukua vzuri...,Baada ya kujifungua visa ndo vimezidi,Mume wangu amenitenga kbs hataki kuskia habari zangu wala za mtoto, na alishanifukuza chumbani kwetu siku nyingi toka nikiwa na ujauzto wa miez 5 mpaka sasa,nimemwambia km hanihtaji anipetalaka nirudi kwetu watoto nitalea mwenyewe,Hataki,NIFANYAJE JAMANI NAOMBENI USHAURI
 
dah pole sana haya ni maisha tu! kaza moyo zidisha maombi utapa njia mungu yupo! uwe na imani!
 
walinipasua na kunitoa mtoto wa kiume lakini alikua hawez kuhema vizuri,Wakamwekea oksjen ikamsaidia na anaendelea kukua vzuri...,Baada ya kujifungua visa ndo vimezidi,Mume wangu amenitenga kbs hataki kuskia habari zangu wala za mtoto, na alishanifukuza chumbani kwetu siku nyingi toka nikiwa na ujauzto wa miez 5 mpaka sasa,nimemwambia km hanihtaji anipetalaka nirudi kwetu watoto nitalea mwenyewe,Hataki,NIFANYAJE JAMANI NAOMBENI USHAURI

Pole sana,na hongera kwa kuweza kulea mimba na kuweza kujifungua japo kwa mamatatizo lakini kwa uwezo wa Mola mtoto ni mzima. Kwa sasa wewe tulia kwanza lea mtoto ukiwa hapa hapa mjini japo mtoto akuwe ingalau miaka miwili.Kwa muda huu na jinsi unavyoongea na mumeo yeye anakuambia kuwa una tatizo gani, kwanini ana behave hivyo?
 
dada Lonely heart, pole sana lkn jamani muda mwingine haya majina yanatubashiria yaliyobebwa ndani yake. hilo tuliache..

kwasasa mtoto si anakuw vizuri na je si unafanya kazi? naogopa kukushauri manake muda mwingine nina usauri mbaya sana ila kiukweli kabisa kama mama na mke humo ndani usitoke na wewe mfungie vioo natamani nikupe moyo wangu uone jinsi ulivyo. rudi chumban kwako akitaka yeye ndo aondoke kwa rum. mfungie vioo usijali amekusemesha ama la anakuhudumia ama la dawa ya jeuri ni kiburi. akichoka kabisa atarudi na sipoweza aondoke milele.

sikufichi kama unataka kuveshwa jtaji basi baki kwako timiza wajibu wako kwa wanao tena ashume hajakuoa aili usosimuwaze ua hisia zako kimapenzi juu yake ish nae kama mtu baki tu ili achoke atimue kuwa mkaksi aisee. pole mwaya.
 
Last edited by a moderator:
Labda kama sijakushauri unijibu maswali haya yafuatayo:
1. Je una ndugu wa karibu hapa mjini?
2. Unadai talaka, je mlifunga ndoa ya aina gani?
 
dada [MENTION=57832] Lonely heart [/MENTION], pole sana lkn jamani muda mwingine haya majina yanatubashiria yaliyobebwa ndani yake. hilo tuliache..

kwasasa mtoto si anakuw vizuri na je si unafanya kazi? naogopa kukushauri manake muda mwingine nina usauri mbaya sana ila kiukweli kabisa kama mama na mke humo ndani usitoke na wewe mfungie vioo natamani nikupe moyo wangu uone jinsi ulivyo. rudi chumban kwako akitaka yeye ndo aondoke kwa rum. mfungie vioo usijali amekusemesha ama la anakuhudumia ama la dawa ya jeuri ni kiburi. akichoka kabisa atarudi na sipoweza aondoke milele.

sikufichi kama unataka kuveshwa jtaji basi baki kwako timiza wajibu wako kwa wanao tena ashume hajakuoa aili usosimuwaze ua hisia zako kimapenzi juu yake ish nae kama mtu baki tu ili achoke atimue kuwa mkaksi aisee. pole mwaya.

Te te te! Mkuu you mean: A lonely heart! Hilo ni jina tu mkuu!
 
Pole sana,na hongera kwa kuweza kulea mimba na kuweza kujifungua japo kwa mamatatizo lakini kwa uwezo wa Mola mtoto ni mzima. Kwa sasa wewe tulia kwanza lea mtoto ukiwa hapa hapa mjini japo mtoto akuwe ingalau miaka miwili.Kwa muda huu na jinsi unavyoongea na mumeo yeye anakuambia kuwa una tatizo gani, kwanini ana behave hivyo?
anasema kwanini nilikataa kuhamia kijijini nikaishi nimlee mama yake....ni kweli niligoma kumwacha mume wangu mjini na kwenda kuish kijijini na mama mkwe,jambo ambalo lilileta chuki na hasira kwa wifi zangu na mama mkwe mpaka kufikia hatua ya kumshawish kaka yao aniache aoe mke mwingine, na ndipo nilipomwambia kabla hajaoa aniache kwanza mimi ndipo aoe,Akakataa
 
walinipasua na kunitoa mtoto wa kiume lakini alikua hawez kuhema vizuri,Wakamwekea oksjen ikamsaidia na anaendelea kukua vzuri...,Baada ya kujifungua visa ndo vimezidi,Mume wangu amenitenga kbs hataki kuskia habari zangu wala za mtoto, na alishanifukuza chumbani kwetu siku nyingi toka nikiwa na ujauzto wa miez 5 mpaka sasa,nimemwambia km hanihtaji anipetalaka nirudi kwetu watoto nitalea mwenyewe,Hataki,NIFANYAJE JAMANI NAOMBENI USHAURI

jitathmini dada..nahisi kuna kitu kimejificha ndani yenu.......halafu hapa hii story inatakiwa kuwa balanced,inatakiwa tupate na maelezo ya upande wa pili....
Mimi siamini kama kuna mwanaume anaweza kuwa katili kiasi hicho with no reason....
Lazima kuna kitu hapo....TUAMBIE VIZURI DADA ANGU
 
Pole sana mkuu kwa matatizo hayo.
Ila jipe moyo..na fahamu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
 
huna mume hapo ...rudi kwenu kajipange upya ...wanaume wa kuoa wapo wengi dadawewe ni bado msichana aolewa tu
 
mmh, pole sana
sijui kwa nini, ila nahisi ulilelewa kwa kudekezwa hakuna mwanamke strong dunia hii ya leo akakubali kufanyiwa hayo.
 
Back
Top Bottom