Mume wangu akila nyama ya mbuzi na kitimoto zamdhuru

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
481
Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na vunamuwasha, alipewa dawa ya kupaka vikakauka na kubakiza dots nyeusi na wakati mwingine vinamuwasha atumie dawa gani viishe na madots atayatoa na nn maana hawezi vaa t-shirt msaada pls. Asanteni
 
Jamani hakuna wa kunisaidia mbona mko kimya hivi kwenye kujua dawa tafadhalini
 
Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na vunamuwasha, alipewa dawa ya kupaka vikakauka na kubakiza dots nyeusi na wakati mwingine vinamuwasha atumie dawa gani viishe na madots atayatoa na nn maana hawezi vaa t-shirt msaada pls. Asanteni
Dawa kubwa ukitaka apone Mume wako awache kula kitomoto na nyama ya mbuzi kwani kuna ulazima gani ale hizo nyama? kama anapenda kula nyama mwambie ale nyama ya kondoo na nyama ya kuku au nyama ya bata hazina madhara kwa afya ya binadamu.
 
Tatizo tangia 2013 Leo ndo mtu anapata ushauri.
 
Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na vunamuwasha, alipewa dawa ya kupaka vikakauka na kubakiza dots nyeusi na wakati mwingine vinamuwasha atumie dawa gani viishe na madots atayatoa na nn maana hawezi vaa t-shirt msaada pls. Asanteni

Aache kula kitimoto na mbuzi ana alergy, kwani lazima kula?
 
Ana allergy ni ugonjwa was kawaida aende hospital apewe matibabu na asitumie nyama izo

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Wana jamvi naombeni ushauri mume wangu akila nyama ya kitimoto na mbuzi anapatwa na viupele vikubwa mgongoni vyeusi na kuwashwa ameacha kula bado vinamtokea vinakuwa kama chunisi ngumu nyeusi na vunamuwasha, alipewa dawa ya kupaka vikakauka na kubakiza dots nyeusi na wakati mwingine vinamuwasha atumie dawa gani viishe na madots atayatoa na nn maana hawezi vaa t-shirt msaada pls. Asanteni
Mimi sio Dr lakini nina akili kidogo ya kujaaliwa na Mungu wangu,Dawa yake ili asitokew na vipele akila aina hizo za nyama ni kuacha tu kula vitu hivyo basi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom