Mume wa Khadija Koppa ambaye ni diwani kata ya Magomeni - Bagamoyo amefariki dunia

hiyo kata ina changamoto ya kufiwa na madiwani.......poleni wapiga kura
 
Pole mama yetu..ila ulijitahidi sana kumpigisha pamba...........zote zinaonekana za dukani halafu mupya
 
Msiba wake umetawaliwa sana na mambo ya ushirikina kwani, hata kwenye kaburi lake wamekuta chungu kilichofukiwa ambacho haikujulikana mapema nani alikiweka, Hata hivyo baada ya sala ilibidi mwili wa marehemu uzikwe.
 
Back
Top Bottom