Mume wa Angela Kairuki achelewesha hati, Kutumbuliwa na Rais Magufuli?

Mbelwa ni jina la Kizigua,Kairuki ni jina lenye asili ya Kenya,hii imekaaje?Tupe ufafanuzi tafadhali.And then imekuaje familia moja iule kiasi hicho,ni coincidence tu kwa kuwa they deserve it, au kuna jambo.Nauliza tu kutaka kujua,maana mimi sio punguani.Na huyu Anjela mbona kafanana sana na Waziri Mkuu mmoja wa zamani,ni yale yale ya waswahili kwamba binadamu wako wawili wawili au?
Mbelwa- Tanzania ( Haya&Zigua)
Kairuki-Tanzania (Haya)
Kariuki- Kenya
 
Huyu balozi ndie Mwanaume pekee Tanzania mweye kifua
Jamaa kuna wakati alitaka kujiuzulu baada ya ndoa yake "kuchezewa", ikatokea kuwa itakuwa scandal kwa jumba kubwa. Watu wa kitengo wakaaambiwa waichunguze ile Taasisi yao ya Hospital pale Mikicheni, inaonekana ina kashfa ya kukwepa kodi. Jamaa wakamtonya Balozi kuwa ukifurukuta tu aidha kujiuzulu au talaka wazee wa TKKR na TRA wanaweka kambi.

Basi yuko "ransom" ndiyo maana yuko kimya.
 
So utumbuzi utampitia kushoto kulindana
 
Naukumbuka ule waraka wa mfalme Daudi "Mweke Uria mstari wa mbele penye mapigano makali na kisha urudi nyuma, mwache auawe" Baada ya muda akazaliwa Suleiman! Aah Daudiii!
Daudi alipagawa kwa Bathsheba
 
Kuna aliyewahi muona sulemani Wa bongo kama kafanana na mfalme daudi au ni maneno ya wabongo
 
Mtoto anayezaliwa ana kosa gani hadi auwawe?.

Sii wengi wanaojua njia ambayo shetani aliitumia kumrubuni Eva hadi kutoa tunda likamegwa!.

Asiuawawe Kaini ambaye ni ... aje auwawe an innocent victim?!.
P

Unapingana na maandiko yanavyosema?
 
Aliyeuawa ni mwingine ambaye ndiye alikuwa kipenzi cha Daudi.

Nilichoona ni kuwa ulimaanisha (na hasa Pascal Mayalla) kuwa mtu anayehisiwa katika mada hii kufanya mambo fulani yanayofanana na ya Daudi siyo wa kunyooshewa kidole kwa sababu Mungu alimpatia Daudi mtoto Sulemani ambaye ametaja sifa zake.

Nilichokuwa nawasahihisha ni kuwa kwa mujibu wa maandiko Mungu alimuadhibu Daudi kwa tendo lile kwa kumuua mtoto aliyezaliwa. Sulemani alikuja kuzaliwa baadae sana na hahusiki moja kwa moja na uovu aliofanya Daudi.
 
Jamani watumiaji Instagram Mange kimambi amerudi au bado yuko likizo? Maana nilijitoa
 
Unapingana na maandiko yanavyosema?
Pia muulize huyo Pasco Kwamba Mungu anaposema "huwapatiliza wana kizazi cha kwanza cha pili, cha tatu na cha nne kwa uovu wa baba zao"
Hivi hao wa hivyo vizazi huwa na kosa gani hadi wanaadhibiwa kwa uovu wa baba zao
 
Jamaa kuna wakati alitaka kujiuzulu baada ya ndoa yake "kuchezewa", ikatokea kuwa itakuwa scandal kwa jumba kubwa. Watu wa kitengo wakaaambiwa waichunguze ile Taasisi yao ya Hospital pale Mikicheni, inaonekana ina kashfa ya kukwepa kodi. Jamaa wakamtonya Balozi kuwa ukifurukuta tu aidha kujiuzulu au talaka wazee wa TKKR na TRA wanaweka kambi.

Basi yuko "ransom" ndiyo maana yuko kimya.

Mhhh! Watu mnashusha tu nondo. Sisi wa huku periphery tunaona nyota tu!🤓
 
Mbelwa ni jina la Kizigua,Kairuki ni jina lenye asili ya Kenya,hii imekaaje?Tupe ufafanuzi tafadhali.And then imekuaje familia moja iule kiasi hicho,ni coincidence tu kwa kuwa they deserve it, au kuna jambo.Nauliza tu kutaka kujua,maana mimi sio punguani.Na huyu Anjela mbona kafanana sana na Waziri Mkuu mmoja wa zamani,ni yale yale ya waswahili kwamba binadamu wako wawili wawili au?
Hata Hawa Ghasia mumewe alitupwa kule India
 
Back
Top Bottom