kwiih kwi kwiiiMUME: Mke wangu naskia Beka katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu..!
MKE:Mmmh! basi huyo atakuwa MAMA SAM maana yule ndo ANAJIFANYAGA MGUMU SANA.!!
Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?