Mume na mke

Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,975
371
MUME: Mke wangu nakupenda sana ila naomba kujua
umewahi kuvunja uaminifu mara ngapi?
MKE: Siku ya kwanza nililala na mwenye nyumba sababu
alikuwa anatudai kodi.
MUME: Safii.
MKE: Siku ya pili ulipo fanyiwa oparesheni na pesa hakuna
nikalala na dokta.
MUME: Kumbe unanijali ehh!
MKE: Siku ya tatu kipindi cha uchaguzi ulipokuwa unaomba kura
ikabidi nitembee na wapiga kura wote ili wakupigie kura.
MUME: Tobaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Tehe tehe cjui mtu utachukua uamuz gani hapo labda ukampime akili
 
Naomba mnisaidie kufahamu kwani kuuliza si ujinga,Hivi ni kweli kwamba hakuna sababu yoyote ya mgao wa umeme bali umeme unakatwa ili wenye vitambi wapige dili zao?
 
Naomba mnisaidie kufahamu kwani kuuliza si ujinga,Hivi ni kweli kwamba hakuna sababu yoyote ya mgao wa umeme bali umeme unakatwa ili wenye vitambi wapige dili zao?

Acha kudandia thread za wenzio anzisha ya kwako.
 
upendo wa mke kwa mume ulizidi mpaka anam-kill mumewe softly. kifuatacho hapo ni huyo mke kuchezea vitasa tu, kama jamaa hajapata stroke lakini!
 
Nikupe bei gani uniachie huyo mke? inaonekana ni malighafi hio mzee, mshikilie huyoooo
 
Back
Top Bottom