lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Wakubwa zangu Shikamooni!!!!!!!!!!!!!
Weraweraaaaaaaaaa!!!!!!!!! Niajeeeeeeeeeeeeee!!!
Tabia ya mtu una mkeo au mumeo, anafanya kazi sehemu ingine ila kutokana na kiherehere chako na umbea kuzidi kipimo unaanza kumpa partner wako full details za mambo ya ofisini yasiyo muhusu! Haya mwambie basi ya kikazi hadi umbea umbea wa rejareja nao unampakulia wooote bila kusahau hata kidogo!!!!!!!
Tabia hii haipendezi na mjiadhari nayo, manake ni sawa na kunyea kambi yako ya ofisini! Ya ngoswe waachie ngoswe wa ofisini sio kuleta ujuaji usio na tija!!!!!!
Kutokana na ugumu wa maisha huku kaisaria watu walikuwa wamejizoelea tu na kukubali kuishi kimaskini kungojea NSSF/PPF ije iwatoe kimaisha! Balaa lilianzia nilipoingia mtu mzima Kubwa la Maadaui!!!!!!!! Ujue ujibinafsishiaji (WIZI) wa mali za umma mara nyingi hauanzi hivi hivi tu, lazima kuwe utatu usio wa heri! The Brains, The Coordinator and The Skills.
Picha lilianza hivi, maisha yamepanda sana bei wajameni, pochi hazishikiki, si viatu, si kodi za nyumba. Mwanzo nilikuwa field, field hufi njaa, badae Diaspora kanipiga pini na steppler kwenye desk sishiki hela, wala mzigo ni mikaratasi mwanzo mwisho, ndo kushinda JF kukaanzia hapo! Baadae i put my brain into work, nikaona loophole kwenye system nzima! (Ukiwa mzee wa mishe unaweza kustukia mishe hata kwa kuinusa tu!) Loophole zote ziko vitengo vya watu! Nikarecruit nguvu kazi ya operations kutokana na kipaji cha kila mtu na sehemu alipo! Sheria ya ujibinafsishiaji wa mali za umma inakutaka Kubeba zigo la uhakika si kudokoa ukizingatia tuko nyomi, tutagawanaje sasa!!!!! Na risk ya kunyea debe lazima iwe compensated accardingly!
Plan limefanyiwa kazi miezi sita, it must go down this december, (Cashier anaenda bank ijumaa 21 mara ya mwisho, kuna siku tano za unbanked and unrecorded pile of cash cash kwenye safe, 22, 23,24,25 26,) The rest of the plan haliwahusu!!! lishikishindikana mwaka huu ni baaaaaasss tenaaa! Kila kitu kiko mahala pake, mpaka details za nani afanyeje atapata nini tushagawana majukumu kabisaa! Kampuni nyingi sana zitalizwa mwaka huu, (Kitengo cha wizi wa kalamu jeshi la polisi ongezeni juhudi mwezi huu)
Sasa kumbe member mmoja kamueleza kila kitu Mkewe!!!!!!!!! Can you imagine that! Kila kitu, nani anafanya nini na wakati gani? Damn! (Libwata hizi!!!!) Tena na majina kamtajia!!!!! Hapo keshamuahidi wakipata mgao wao atamnunulia mambo kibao! Nyau kweli huyu jamaa! Sasa jana wamekorofishana na mkewe! Mkewe anatishia kuja Kuuza CD kwa Diaspora na viongozi ili kumkomoa!!!!!!!!! Mkewe anadai ataeleza kila kituuuuu! Black n White!( Dnt underestimate her, Mzaramo mwenye diploma ni hatari sana!) Chupi zimetubanaje sasa! Tumemsutaje kwa kushindwa kufunga domo?
Kwisha habari yetu!!!!!!!!! Hata asiposema saivi, hata baadae dili likishahappen kuna kuwaga na jamba jamba ya kuwekwa ndani, kuresign 24 hrs, kupigwa termination watu, sasa mumewe akitingishwa kidogo tu si bidada atasema kila kitu! Dili kama hili linachukuaga hata nusu mwaka kabla halijapoa! Ndo hivo tena mwenzenu Mwaka sitouona kimaslahi tena! Kisa a Husband with a big mouth!!!! Ndo nangojea NSSF hapa initoe kimaisha untill i think of something else!(Once a thief always a thief)
YA OFISINI MUYAACHE OFISINI!!!!!!!!!!!( Sio na hii khabari mnaanza kuhadithiana na ofisini kwenu huko, kuuambia uongozi uongeze ulinzi kwenye safe!!! Yatawashinda! Nchi ishauzwa hii acha wenye mabavu tujisevie!)