mume mwenye wivu

mohamedn

Member
Feb 19, 2009
54
35
Mume mwenye wivu alipokua ofisini alipiga simu nyumbani kucheki kama mke wake yuko nyumbani, mke akamjibu yuko nyumbani, akamwambia siamini na kama uko nyumbani washa blender. Mke akawasha blender na mume akaridhika. Ilipofika siku ya pili mume akamuuliza tena na mke akajibu yuko nyumbani, akamwambia tena awashe blender na mke akawasha blender yakaisha. Siku ya tatu mume akaamua kwenda nyumbani bila kupiga simu akakuta mke hayuko, akamuuliza mfanyakazi 'yuko wapi mama' mfanyakazi akajibu 'mama katoka na blender tangu asubuhi hajarudi'. Mzee hoi.
 
Back
Top Bottom