Mume Mwema anatafuta mke

Mandazi

Member
Jul 14, 2020
79
121
Natafuta mke wakuoa! Mwenye Mapenzi Mema,Mcha Mungu

Mimi nina miaka 34 kwa sasa,nipo Dodoma nafanya kazi serikalini, Dini yangu ni Mkiristo Roman Catholic

Sifa za mke! Mwenye mapenzi mema,mcha Mungu.

Mengine hayana nafasi kwangu. Aliye serious aje DM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom