MUME:"Mke wangu,nadhani sasa ni muda mwafaka wa kuajiri secretari pale ofisini mwangu........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUME:"Mke wangu,nadhani sasa ni muda mwafaka wa kuajiri secretari pale ofisini mwangu...........

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shine, Sep 9, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [h=6]MUME:"Mke wangu,nadhani sasa ni muda mwafaka wa kuajiri secretari pale ofisini mwangu,kazi zimekuwa nyingi sana!"MKE:"Sawa mume wangu usije ukazeeka bure,ila nakuomba utafute mwanamke mwenye sura mbaya na asie na mvuto wowote...ndo uwe makini kazini."MUME:"Ok! Uko tayari kuanza kazi kesho asubuhi."[/h]
   
Loading...