dating Site iko wapie au unamanisha Badoo?Hii imekaaje...
Na wengine ni wanaheshimika kabisa..
Mzee Ww Hunaga Ndugu Wa Kusalimiana Nao Ktk Threads?!Haijakaa poa sana hiyo mkuu..michepuko
Inamaanisha kuna wanalotafuta kujipatia ambacho hawakipat kwa wenza wao. Mara nyingi ni peace, happiness na love.
Kivipi mkuu..kwa nini?Mzee Ww Hunaga Ndugu Wa Kusalimiana Nao Ktk Threads?!
Sijawah Kukuona Ukibebishana Na Mtu Wala Kusalimia Ndugu.Kivipi mkuu..kwa nini?
sina wa kubebishana nae mkuu niko na Dada yangu Jovitha na wengineo wengi tu...Salam huwa natoa labda kama hunionagi tuSijawah Kukuona Ukibebishana Na Mtu Wala Kusalimia Ndugu.
Haha haha wengine ni fantasy zao tu an it is just for funnyKuwa mke,mume\mchumba ni kwamba umemalizana na shughuli ya ku date. Sasa kama shughuli imeisha bado unashangaa shangaa nini shughulini?!