Mume Mchovu Kitandani Afikishwa Mahakamani na Mkewe

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Mwarabu mmoja wa Dubai amefikishwa mahakamani na mkewe na kufunguliwa madai ya fidia ya dola milioni 12.25 kwa kushindwa kumfikisha kileleni mkewe kwenye mambo ya malavi davi na hivyo kumsababishia mkewe mawazo mengi na kumchanganya akili. Mke wa mwanaume huyo ambaye hakutajwa jina lake aliiambia mahakama kuwa mume wake alikuwa akizua sababu mbalimbali kumnyima unyumba kwa miezi minne ya mwanzo ya ndoa yao iliyofungwa mwaka 2008.

Mwanamke huyo aliendelea kusema kuwa baadae aligundua kuwa mumewe hawezi kazi kitandani kwani alikuwa akisumbuliwa na tatizo la uume wake kutosimama 'dede' hata aimbiwe nyimbo gani, limeripoti gazeti la Gulf News. "Kwa kuangalia misingi ya tamaduni za kiarabu na jinsi mwanamke anavyochukuliwa katika jamii, niliamua kukaa kimya na kujaribu kuizoea hali hii huku nikiomba Mungu mambo yawe sawa", alisema mwanamke huyo.

Mwanamke huyo aliiambia mahakama kuwa mumewe ameshindwa kumtimizia mahitaji yake. Aliendelea kuiambia mahakama kuwa mumewe alimsimamisha kazi kabla ya kumuoa na alimvua vidani vyake alivyokuwa navyo wakati huo. Mwanamke huyo anadai fidia ya dirham milioni 45 ambazo ni sawa na dola milioni 12.25 kama fidia ya mumewe kumchanganya akili na kumsababishia mawazo mengi kwa kutomtimizia mahitaji yake.

NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
 
I wonder what the standard of proof is in this kind of case. Or is it just her word against his word? SMH
 
I wonder what the standard of proof is in this kind of case. Or is it just her word against his word? SMH
Male impontence is a Physiological condition which can be diagnosed. So I believe that, it will be more than he said she said.
 
mwanamama amekasirika.
Ile kitu ni tamu nyie msiombee, hasa ukiwa unaiihitaji halafu huipati kikamilifu.
Aje huku bongo, kuna wasukuma wanaendesha baiskeli toka Maswa hadi Singida, wakipanda kiunoni hawatoki mpaka wamemimina mara 13
 
:israel:
Ayayayaaaaaaaaa.............duniani kuna mambo........

Dah namuonea huruma jamaaa, uhondo kakosa na fidia atalipa......huy nae alioa nini wakati alijua ngoma imekufa gear box
 
I wonder what the standard of proof is in this kind of case. Or is it just her word against his word? SMH

Mkuu hii inapimika.......mi kama hakimu nawatafutia chumba cha "ushahidi" nawaingiza huko halafu nawaambia wapige mavitu....mjomba akigoma tu inakula kwake
 
Bibi si adai talaka atafute bwana mwingine.huo ni udhalilishaji..ingekuwaa mume kagoma kushiriki ingekuwa sawa lakini tatizo ni mitambo ndo haiwaki hivyo sio kusudio lake
 
Hapo inabidi tufafanuliwe iwapo baada ya ndoa yao jamaa aliwahi kufanya mambo.Kama hakuwahi kujamiiana na mkewe na kama wamefunga ndoa ya kiislamu huyo mama hakupaswa kukaa muda wote huo maana ndoa hapo HAIPO "haiswihi" kwa vile tendo la ndoa halikufanywa. Hivyo hapaswi kudai fidia kwa vile aliamua mwenyewe kuwa na matumaini kwamba siku moja mambo yatajipa. Anatoweza kudai ni talaka kwa kufuata sheria za ndoa ya KiislamuKama mambo hayo yametokea wakati wameshawahi kufanya tendo la ndoa kikamilifu na hayo yakaja tokea baadae anachoweza kudai ni talaka kwa vile JOGOO haliwiki tena pamoja na haki zinazoendana na talaka hiyo na sio kudai fidia kama ilivyoelezwa na muanzisha mada
 
Ningempata mwanaume asiyesimama dede ningefurahi kweli.tungeishi happily ever after till death do us apart.
 
:israel:Hayo ndo madhara ya kuoana kabla hamjala uroda, kama wangefanya tendo la ndoa b4 marriage wala mahakamani huyo mama asingekwenda kwani tatizo angeliona mapema na kukimbia.
 
Ningempata mwanaume asiyesimama dede ningefurahi kweli.tungeishi happily ever after till death do us apart.

Mzuanda ungekaa nae wiki 1 tu halafu ungeanza kuchukia mpaka harufu yake! Tena usiombee akutokee maishani kwa sasa manake na ulivyozoea mkuyati walai utamchukia siku hiyo hiyo! Pole mama. Jidai lkn uko na dume la shoka!
 
I wonder what the standard of proof is in this kind of case. Or is it just her word against his word? SMH



Maelezo katika thread ni dhahiri hajawahi guswa, hivyo ushahidi haitakua ngumu - ni kumwingiza tu na kimwana roomuni...
 
Back
Top Bottom