Mume kumtia lovebite mkewe

Huyo mwanamke atakuwa hajatulia. Mwanamke anaogopa vipi kupewa love bites kama sio anataka asijulikane anaishi na mtu. Love bites ni ishara ya mwanamke kuwa mtamu hadi mwanaume anatamani kumtafuna......
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nimekaa hapa serious nasubiri nione atakayeielezea hiyo bite inawekwaje lakini naona tu ni mazungumzo baada ya habari..!!
 
Najaribu tu.
Ipo kama ubavyo fanya romance na mpenzi wako. Lovebite inatokea wakati wa kumwandaa mwanamke. Wakati wa kumtomasa unaweza tumia ujuzi wa kinywa kutalii kwa ulimi pande za shingoni huku ukimpa mabusu mazito na kutumia lips zako kama meno kuvuta kidogo nyama za shingo na hapo ndo lovebite inapo acha alama especially kwa wanawake weupe lkn black girl ni kama utakua unawatesa bure
 
Alaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom