Je, ni sahihi mpenzi wako kufahamu kipato chako unachokipata?

blackdog

Member
Jan 9, 2011
89
8
Mimi nilikuwa najiulliza nilipokuwa bado sijafikili kufanya mahusiano. Kuwa nikifikia wakati wa utu uzima nifanye lipi (niweke wazi mshahara wote kwa mke au nimfiche )
wakuu toweni mawazo yenu kuhusi hili jambo ..

Ningependa kufahamu toka kwa wenzangu hivi ni sahihi mpenzi wako kumuelezea au kufahamu kipato chako unachokipata?

Kwa mfano kipato chako kama mshahara , kipato chako kama vile cha kibiashara na mambo mengine ambayo yanakuingizia kipato chako.

Je, ni sahihi mpenzi wako kumuelezea kufahamu kipato chako? Mimi upande wangu katika hili nimekuwa na kigugumizi kidogo kumueleza sijui wenzangu.
 
mim usiponiambia mshahara wako nakufukuza sbb nitakua sikuelewi.
au nitakua sielewi maana ya kuwa MWILI MMOJA.
Mke lazima ajue mshahara,wanandoa hawatakiwi kuwa na siri kati yao.
ILA,naweza kukubali mke afichwe mshahara kama ni wale wanawake wasio na akili za kupangia uchumi wao ili kujipatia maendeleo,wapo baadhi ya kina mama mshahara ukija tu anawaza saloon,na mashindano ya mavazi na vitu matumizi yasiyo na kichwa wala miguu,hawa ni sawa wasipojua mshahara ni kiasi gani,ila baba sio umfiche mkeo halafu na ww ukazinywee pombe.
 
wapo baadhi ya kina mama mshahara ukija tu anawaza saloon,na mashindano ya mavazi na vitu matumizi yasiyo na kichwa wala miguu,hawa ni sawa wasipojua mshahara ni kiasi gani.
Blackdog, ni vigumu kukushauri kwa kuwa hatumfahamu huyo mke wako ana utashi gani, cheusimangala ameshakupa angalizo, sasa wewe changanya na zako utajua la kufanya.
 
mim usiponiambia mshahara wako nakufukuza sbb nitakua sikuelewi.
au nitakua sielewi maana ya kuwa MWILI MMOJA.
Mke lazima ajue mshahara,wanandoa hawatakiwi kuwa na siri kati yao.
ILA,naweza kukubali mke afichwe mshahara kama ni wale wanawake wasio na akili za kupangia uchumi wao ili kujipatia maendeleo,wapo baadhi ya kina mama mshahara ukija tu anawaza saloon,na mashindano ya mavazi na vitu matumizi yasiyo na kichwa wala miguu,hawa ni sawa wasipojua mshahara ni kiasi gani,ila baba sio umfiche mkeo halafu na ww ukazinywee pombe.
Mwili mmoja kwa mambo mengine bt kwa mshahara hapana hapa tunazingatia uhalisi mke c kila kitu anapaswa kuambiwa then c watu wa kukaa na siri. Hii logic tumepewa na mababu tangu enz na hata holly books zinasema kama hvyo!
 
Du! yaani hata hili linahitaji ushauri? Is there any discussion on that?
 
hapana sio kosa mzee, hata ikibidi mkabidhi wote! Bt kwa posho na madili ufanyayo kamwe ucje mwambia chochote! WANAUME TUDUMISHE HESHIMA YETU KWA KUSAKA PESA TOFAUTI NA MISHAHARA YETU!

Hili neno limenikuna sana dogo,
Na ukishajihakikishia pesa katika vyanzo vyako vingine,
huo mshahara hata akiujua au akitaka awe anauchukua yeye,poa tu
wewe huna pressure kabisa!!!!!!!!!
 
mim usiponiambia mshahara wako nakufukuza sbb nitakua sikuelewi.
au nitakua sielewi maana ya kuwa MWILI MMOJA.
Mke lazima ajue mshahara,wanandoa hawatakiwi kuwa na siri kati yao.
ILA,naweza kukubali mke afichwe mshahara kama ni wale wanawake wasio na akili za kupangia uchumi wao ili kujipatia maendeleo,wapo baadhi ya kina mama mshahara ukija tu anawaza saloon,na mashindano ya mavazi na vitu matumizi yasiyo na kichwa wala miguu,hawa ni sawa wasipojua mshahara ni kiasi gani,ila baba sio umfiche mkeo halafu na ww ukazinywee pombe.

nakushangaa sana unaposema eti utamfukuza asipokujulisha mshahara wake
1. Umemuoa au kakuoa (labda umlishe libwata)
2. We mshahara wako unamkabidhi? Au ndo goalkeeper?
3. Mshahara wangu ni siri yangu, we unakula, unavaa, maisha ya amani sa unataka ujue hadi mshahara wangu inakuhusu nini?
4. We ni mwanamke, ukisoma bible Efeso, bible inasema wanawake muwatii waume zenu, co kuwaingilia hadi mipango yao.
5. Usiwe mmbabe ndani ya nyumba, we ni ua, na mumeo ni kichwa! Usitake kumtawala kihivyo.
 
Mwili mmoja kwa mambo mengine bt kwa mshahara hapana hapa tunazingatia uhalisi mke c kila kitu anapaswa kuambiwa then c watu wa kukaa na siri. Hii logic tumepewa na mababu tangu enz na hata holly books zinasema kama hvyo!

Mwambie!!! huyu mwanamke inaonekana mmbabe sana, hatumii oblangata
 
Mwili mmoja kwa mambo mengine bt kwa mshahara hapana hapa tunazingatia uhalisi mke c kila kitu anapaswa kuambiwa then c watu wa kukaa na siri. Hii logic tumepewa na mababu tangu enz na hata holly books zinasema kama hvyo!

old skul.
ndo nyinyi ata miradi unamficha mkeo ukifa watu wanawadhumu
mchek mkeo uelewa wake na displine ya pesa ...km anajua kupangilia na hana matumizi ya ovyo y nt umfiche?
sasa utamwambia nan?
asi ajue ili mjue mtapangaje plan za maendeleo...au ndo nyinyi ela ya matumizi unampa getin wakat unatoka unachomoa ki sh 5000 unampa unasepa na kesho pia.....

MSOME MKEO ..KM MWELEWA MWAMBIE USIMFICHE
LAKIN KM NI WALE WA SALOON,MARIEDO,PEDICURE,MANICURE KILA SIKU ...ahh apo nakushauri usimwambie.

km ambavyo wanaume wengne sio wakuambiwa kila kitu.

nawasilisha.
 
dah i wish to know each and everything about my husband............................:grouphug:
 
nakushangaa sana unaposema eti utamfukuza asipokujulisha mshahara wake
1. Umemuoa au kakuoa (labda umlishe libwata)
2. We mshahara wako unamkabidhi? Au ndo goalkeeper?
3. Mshahara wangu ni siri yangu, we unakula, unavaa, maisha ya amani sa unataka ujue hadi mshahara wangu inakuhusu nini?
4. We ni mwanamke, ukisoma bible Efeso, bible inasema wanawake muwatii waume zenu, co kuwaingilia hadi mipango yao.
5. Usiwe mmbabe ndani ya nyumba, we ni ua, na mumeo ni kichwa! Usitake kumtawala kihivyo.

mim sio goalkeeper na kamwe sitakakuwa,usijeshangaa ukijua mm ni mpiganaji kuliko ww.
Na kwani ni ajabu mwanaume kufukuzwa?au kwa vile umezoea hao ambao ukiwaachia kodi ya meza tu umemaliza hawahitaji kujua mengine?hao ambao idara wanayoimudu ni jikoni tu?YES ,ninao uwezo wakumfukuza mwanamume akiwa ni kikwazo cha maendeleo na malengo yangu.
kipato changu nitamueleza na mim nitahitaji kujua chake ili tujue ni jinsi gani kipato chetu wote kitatupatia vipi maendeleo.
kutojua kipato cha mwenzangu ni kikwazo cha maendeleo ya familia yetu,lengo la kujua ni ili kama kwa mf. hatuna nyumba mm kama mama nijue tutajibana vipi hadi tujenge n.k.
hahaa eti ukiniachia tu HELA YA MATUMIZI mengine nisitake kujua,bahati mbaya mm siishi kwa kula kuvaa na kulala tu nataka mambo makubwa ya maendeleo hivyo usiponishirikisha ktk kipato chako utakua umenizuia kutafuta maendeleo ya familia yetu na ndio nitakutimua sbb mtu mwenye mawazo kama haya ni wale wanakazi nzuri lkn miaka yote kapangisha huko magomen na hata kivitara hana,mm nataka mwanaume mwenye kiu na akili ya maendeleo kama MIMI, pamoja na kuwa umesema situmii oblangata lkn u r very wrong my dear na kwa mawazo haya uliyonayo si ajabu una kipato kizuri lkn huna maendeleo.
 
naungana visent hapo juu..wewe ndiyo unamfahamu mkeo na unajijua kona zako, ukikutana na mwanamke wa aina ya huyo aliechangia wa kwanza basi iko siku hata kumnunulia mtu soda itakuwa vigumu maana itabidi ukatoe maelezo kwa mama..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom