blackdog
Member
- Jan 9, 2011
- 89
- 8
Mimi nilikuwa najiulliza nilipokuwa bado sijafikili kufanya mahusiano. Kuwa nikifikia wakati wa utu uzima nifanye lipi (niweke wazi mshahara wote kwa mke au nimfiche )
wakuu toweni mawazo yenu kuhusi hili jambo ..
wakuu toweni mawazo yenu kuhusi hili jambo ..
Ningependa kufahamu toka kwa wenzangu hivi ni sahihi mpenzi wako kumuelezea au kufahamu kipato chako unachokipata?
Kwa mfano kipato chako kama mshahara , kipato chako kama vile cha kibiashara na mambo mengine ambayo yanakuingizia kipato chako.
Je, ni sahihi mpenzi wako kumuelezea kufahamu kipato chako? Mimi upande wangu katika hili nimekuwa na kigugumizi kidogo kumueleza sijui wenzangu.