Mume kumbaka mai waifu wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume kumbaka mai waifu wake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Power G, May 29, 2011.

 1. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Siku moja katika mazungumzo na rafiki yangu ambaye ni mbumbumbu wa sheria kama mimi , alinidokozea kwamba katika sheria ya makosa ya kujamiiaana Tz ni makosa kwa mume kumbaka mai waifu wake. Kwa wale wenye uelewa wa sheria naomba wanisaidie ufafanuzi wa yafuatayo ili nisije nikajikuta naenda jela bia kufahamu:-
  1. Ni kweli kuna hiyo sheria inayomkataza mume kumbaka mai waifu wake?
  2. Ni kweli mume anaweza kumbaka mai waifu wake?
  3. Ni matendo au viashiria vipi vinavyookuwepo kuonyesha mume kambaka mai waifu wake?
  4. Je kuna uwezekano wa mai waifu kumbaka my hazibandi wake?
  5. Kama huo uwezekano upo, sheria inasemaje? Na ni zipi haki za mai hazibandi aliyebakwa?
  Nawasilisha.
   
 2. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mai wife wako ndo nini?
   
 3. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kwel hata mm sija elewa lekebisha tukushaur mana sijaelewa hlo neno. Ila sheria hyo hipo katka sheria ya ndoa
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Tunabakwa kila siku na hatusemi (naomba mungu my huby asisome hapa BE)
   
 5. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sasa umeandika na unaogopa wakat umesema ukwel haya elendea kuogopa mwache aendelee kukubaka
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  <br />m
  <br />
  Mubaya wewe ndo nini kusoma ktk ya misitari?
   
 7. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mhh! kwa tanzania bwana hii haipo. Kama tutachukulia wikipedia kama source ya information, Tanzania inatambua marital rape pale mume na mke wanapokuwa wametengana.
  Marital rape - Wikipedia, the free encyclopedia
  next time Dena mpe tu kwa raha zenu....
   
 8. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,134
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  Sheria inayotumika ni hii hii ya kawaida ya kubakana ila tatizo kwetu sisi ni mwanamke gani yupo tayari kwenda kusimama kizimbani kumshitaki mumewe kambaka?

  Ila watafiti wanasema wanawake waliomo kwenye ndoa wengi wanabakwa na waume zao!!

  Kwa mfano mwanaume katoka huko na mipombe yake saa saba za usiku kakuta mkewe kalala then kamkurupua usingizini bila hata ya kumuandaa anaanza kulazimisha tendo........huo ndiyo ubakaji ndani ya ndoa brooo!!! Kwa sababu tendo la ndoa ni maandalizi ndugu yangu!!

  Ukimfanyia hivyo mkeo, akaenda polisi kutoa maelezo akapewa PF3 na kwenda hospital na daktari akaconfirm kwamba kweli anamichubuko inayotokana na kulazimishwa tendo la ndoa na akakusimamisha kizimbani umembaka!!! Loh!! Unakwenda jela miaka yako kadhaa kama wabakaji wa kawaida tu!!
   
 9. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inaelekea jamaa yako huwa anakubaka! "Ee Mungu lisikie ombi la dena Amsi kuwa jamaa yake asome hii thread ili aache kumbaka'' usijal nimekuombea na hatakubaka tenaaaa!
   
 10. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ipo mme kumbaka mke hasa pale anapoforce (ite illocutive/perlocutive/loctive)
  ila kwa bongo sidhani kama inafanya kazi niliwahì kusikia wakiijadili redio 1 mwaka jana ndipo nilipofahamu kunamume kumbaka mke.
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Chapakazi acha uchokozi basi bana
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hahaha...sasa si ndio nakupa habari! mambo ya 'for better or for worse' hayo!
   
 13. Sydney

  Sydney Senior Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ya mume kumbaka mkewe ipo ndugu zangu, wala msimshangae mtoa mada. Japokuwa hajajieleza vizuri. ila mambo haya yapo. HERI WENYE NDOA SAFI.
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nafikiri mume kubaka ni pale anapolazimisha tendo wakati mke hayupo tayari
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Haya mambo bwana aah!
   
 16. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mke anaweza kumbaka mume? hapo inakuwaje? mke anawezaje kumlazimisha mume tendo wakati nanihii lazima isimame kwa tendo kutendeka? au rape inatokea kwa jinsia moja tu?
   
 17. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  hakuna cha kubakwa ukishakubali kuolewa we timiza yanayokupasa basi.sasa mimi nimekuoa kwa utaribu
  mzuri kwanini mambo fulani ujifanye unajua kubania
   
 18. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wachangiaji wengi wameonyesha kwa ubakwaji kwa akina mama ktk ndoa upo. Lakini hakuna aliyenifafanulia iwapo na mume anaweza kubakwa na mke katika ndoa au la! Na vipi sheria inasema nini kuhusu hili? Au inawapendelea akina mama peke yao? Je mwanaume akibakwa na yeye niende polisi kupata PF3 aende kwa daktari?
   
 19. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  definition ya kubaka ni nini? kwa kawaidi ni non-consensual sex! Sasa mwanaume ukidinda ijapokuwa ni involuntary, mara nyingi huwezi sema hapana. Ndio maana ni rahisi kwa mwanamke kupata ngono zaidi ya mwanaume. Na ndio maana biashara ya uchangudoa inashamiri na the oldest profession.
  katika cases nyingi za ubakaji wa mwanaume by mwanamke huwa ni kwa watoto. Kwa mfano mwalimu mwanamke na mwanafunzi mdogo mwanaume!
   
 20. Makedha

  Makedha Senior Member

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ???
  Mtu anapokubali kuoa/olewa, anakubali kuishi na mke/mume wake na kuwa mpenzi wake mpaka kifo kiwatenganishe. Hakubali kuwa sex object wake tu na kutimiza tamaa yake kila atakapo.
   
Loading...